Ni safari gani "very risky" umewahi fanya kwa ajili ya mpenzi wako na bado ikaishia na machozi?

Jaribu… likikukuta jambo usisahau mrejesho..
Kukutwa na jambo au kupigwa tukio ni nadra sana haijawahi kunipata...

Sema nini, nitajaribu kufanya safari very risky alafu namuhamisha kabisa huyo mtu...
 
Kukutwa na jambo au kupigwa tukio ni nadra sana haijawahi kunipata...

Sema nini, nitajaribu kufanya safari very risky alafu namuhamisha kabisa huyo mtu...
Hongera….


Majaribio mema… usisahau mrejesho wa kufaulu na kufeli.
 
Kipindi nakaa home dem wangu aliiitaji nikampokee pale tazara akitokea zambia na treni analudi likizo kutoka masomoni aisee uwezi Amini mwanaume nikajikoki saa 9 usiku nafungua geti hakuna alieshtuka wala kuskia nashukuru mungu nilifika salama hadi treni inawasili saa 12 asubui nikampokea nakumfikisha mpaka kwa kwao alikua akiishi na dada ake hadi leo najiuliza ni ujasiri gani niliupata nabaki tu nasema mapemzi yanaguvu
 
Kwenye graduu ya kidato cha 6 nilipanda basi paka Songea.

After there nilimpa simu na laptop ya kufanyia application za chuo na ile pesa ya kulipia TCU nilimpa alipopata chuo akaniacha. The same year nilimnyima mdogo wangu vyote hivyo nilimwambia apambane na hali yake.

Ney popote ulipo bado sijaisahau toshiba yangu.

Karma is....
Ujana uko na ujinga mwingi
Ila Neema banaa
 
Sitokuja kusahau nilitoka home ilala mpka bagamoyo kweny graduation ya mchumba form six nikapoteza na hela ya nauli nilikuwa kam omba omba wakat wa kurud she mwnyw baada ya kuniona hakuw happy kivilee sitokuja kukusahau j wangu
Pole mwamba naona ulienda kishamba, pamba na mwonekano haukumridhisha kuonyesha hata marafiki zake
 
Back
Top Bottom