Ni safari gani "very risky" umewahi fanya kwa ajili ya mpenzi wako na bado ikaishia na machozi?

Nishawahi toka nyumbani kwetu saa kumi usiku baada ya kupigiwa na mpenzi wangu kwamba kuna wezi wameingia kwao nikasaidia....Nimbali kidogo afu kuna eneo lazima ukatishe ni la wahuni nikapita kufika nikakamatwa tena kidogo nipigwe risasi kwamba mm ni mwizi na demu kasema hanijui sitasahau Halima
Kwahiyo ulienda kimbelembeleee, ukijiona wewe siro?
 
Nishawahi toka nyumbani kwetu saa kumi usiku baada ya kupigiwa na mpenzi wangu kwamba kuna wezi wameingia kwao nikasaidia....Nimbali kidogo afu kuna eneo lazima ukatishe ni la wahuni nikapita kufika nikakamatwa tena kidogo nipigwe risasi kwamba mm ni mwizi na demu kasema hanijui sitasahau Halima
Huyo atakuwa ni halima ndala ndefu
 
Nishawahi toka nyumbani kwetu saa kumi usiku baada ya kupigiwa na mpenzi wangu kwamba kuna wezi wameingia kwao nikasaidia....Nimbali kidogo afu kuna eneo lazima ukatishe ni la wahuni nikapita kufika nikakamatwa tena kidogo nipigwe risasi kwamba mm ni mwizi na demu kasema hanijui sitasahau Halima

Duh
 
[mention]financial services [/mention] njoo uelezeee jinsi ulivyo mtenda babu
 
Pisi moja hv niliipata kwenye group za whatsap ile pisi ilikuwa inanipenda kinyama mpka sku ya b-day yangu ilininunulia cake nilipiga sana ilikuwa inakaa mitaa ya ununio Sema mm kwenye hzo group tulikuwa tunakulana sana mm nilikuwa na mshikaji wangu tulikuwa tunalawa kinyama yule demu akajua nimeshatembea na members 2 wa hilo group japo nilishamla mm nikampotezea sku natoka mwz nakuja dar nikamtafuta tukachart fresh nikamwambia nitafika mida ya night so chukua Lodge kbsa akakubal mamaee kufika piga smu hapokei mamaee aliniboa afu nilikuwa na nyege kis××× nahisi alilipiza kisasi maana kpind tupo kwenye mahusiano kila tukikutana Lodge alikuwa analipa yy
 
Wasalaam

Nilikuwa na manzi wangu nikiishi Ubungo Riverside by then, yeye akiishi Mbezi Kimara.

Alikuja kunivuruga na chanzo kikiwa ni issue za kutoaminiana, aliniomba msamaha lakini nilikuwa nimeamua kumuacha na niliapa kutorudiana nae.

Baada ya mitihani alirudi kwao Arusha, masikini kumbe sikuwa na uhakika wa uamuzi niliofanya, bado nilikuwa nampenda

Nilijaribu kumuomba msamaha kwenye simu turudiane aligoma, baadae alinionea huruma na kunambia kama kweli nampenda niende Arusha tukayajenge.

Kwa mara ya kwanza nilipanda basi kuelekea Arusha, nikampa taarifa mwenyeji wangu alanambia nisijali ananisubiri, tulipofika Moshi nilimtaarifu akanipa pole akanambia niwe na amani.

Tunakaribia stendi nikampigia akanambia niwe mvilivu atachelewa kidogo...tulifika saa 2 usiku...nilipiga simu mara nyingi haikupokelewa, baadae simu ilikuwa haipatikani kabisa.

Sikuwa na jinsi zaidi ya kupanda basi jingine asubuhi kugeuka Dar...nikiwa njiani tumeiacha Moshi ikaaingia text yake ananiomba samahani anauliza bado niko stendi??

"Mellisa nimeshakusamehe ila sintokuja kusahau"

Safari gani huji kuisahau???

Ngoja nikupe pini za kukupooza!

Mwanangu hapo ulipigwa na kitu kizito dah pole sana
 
Mwaka 2013 nilisafiri kutoka Morogoro nilipokuwa naishi kwenda Tanga Majani mapana kumfata dame wangu mmoja hivi! nilikuwa sijawahi kufika Tanga! Nilifika saa 10 jioni saa moja demu akaja baada ya stori kidogo tu akanambia anaenda home kuweka mambo sawa ili arudi kulala pale gest nilipofikia! baadae simu haikupatikana mpaka kesho naamua kurudi moro! Daah! Frola stasahau kudadeki...
Ilibidi upige kwanza then ndo aende kwao kuweka mambo sawa
 
Mtatoa visa vyote lakini hamuwezi kumfikia huyu jamaa hapa chini dadeki

IMG_20220424_101706.jpg

IMG_20220424_101703.jpg

IMG_20220424_101701.jpg
 
[mention]financial services [/mention] njoo uelezeee jinsi ulivyo mtenda babu
Huyy financial fala, sana nilimuingiza ubungo kagame kumla akazingua nilikuwa sijalipia hotel nikaenda naye makumbusho kwenye rav4 yangu nikamsubiria kusuka nikamsindikiza hadi Morocco badae nikagundua yuko na mbabu mmoja mjini nikamtena hakujuta sana ila mie niliumia kiasi. Ikawa hivyo..
 
Back
Top Bottom