Ni sababu zipi zilizopelekea Dkt. Livingstone kufa kwa mateso na mwili wake kusafirishwa kwa kudhalilishwa kutoka Zambia mpaka Uingereza?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,143
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda

Mmisionary huyu sehemu ya kwanza aliyoikanyaga baada ya kutua Tanzania ni Bagamoyo mkoani Pwani, mpaka Leo mlango alioingia kuelekea ndani ya kanisa upo na umewekwa Kama sehem ya makumbusho.

Sehem zingine alizoweza kutembelea ni Kenya, Zambia etc
• Miaka kadhaa baada ya kutua Africa alianza kuumwa malaria mpaka akafariki huko Zambia.

• Baada ya kufariki utumbo na ubongo wake vyote vilitolewa ili asioze.

• Baada ya hapo mwili wake mzima ulipakwa chumvi, kwa lengo la kuuzuia usishambuliwe na bacteria

• Baadae akawa anatembezwa maeneo kadhaa ya makanisa hasa hasa ya Pendekoste ili aagwe na waumini wake

• Baadaye zkaanza taratibu za kumsafrisha mpaka Uingereza, alisafirishwa mpaka Uingereza kwa kupokezana, yaani waumin wake walikuwa wanambeba mpaka eneo Fulani na wa eneo hlo nao wanampokea mpaka akafka Uingereza, na hii Safari ilichukua miezi sita. Hiki ndo kimeumiza sana akili yangu,yaan mait isafirishwe kwa miezi sita ikiwa imepakwa chumvi tu. Daaa sjui hali ilikuwaje wazeee!

Mwenye uelewa mpana kuhusu mmisionary huyu naomba anijibu maswali yafuatayo:

1. Ilikuwaje afe kwa malaria mtu msomi mkubwa namna hyo? Dawa za kumtibu zlikosekana kweli?

2. Kipind hicho ndege hazikuwepo mpaka maiti nasafirishwa kwa aibu hivyo kwa miez sita? Au kampuni lao lilikuwa maskini sana kias cha kukosa hela ya kusafirisha mait?
 
Alafu sasa unaweza kukuta jamaa ndio anategemewa na ukoo kwa fikra,, mawazo na maono na vikao vya ukoo havifanyiki bila yeye! Amekurupuka kuleta mada bila kujiuliza maswali ya msingi sana uliyomuuliza hapo kwenye komenti yako!!!Shida ya kukuzwa na chips mayai!!
 
Jinsi waafrika wanavyo hangaika na history ya Dr Livingston ambae alikuwa ametumwa kuweka mazingira rahisi ya kuleta ukoloni na kutawala waafrika na kuwageuza watumwa katika nchi Yao...kuliko wanavyo hangaika na history za mababu zao unaona kabisa ukoloni wa kifikra haujawatoka wengi...

Watu wako na sympathy na Dr Livingston kuliko ndugu zao...walioletewa utumwa na huyo Dr Livingston...
 
Jamaa kauliza swalu lenye kebehi fulani za kimtego.ILE MAITI ILIFANYWA VILE ILI KUMTUNUKU UUNGU DR LIVINGSTONE, YAANI IONEKANE ANAABUDIWA MA JAPO KAFA ATAWALE KWA REMOTE.
 
Du mkuu si utumie tu Google hapo unapata majibu yote! Nitakusaidia hint za kusearch
1. Je alikufa lini?

2. Ndege ziligunduliwa lini?

3. Dawa ya malaria iligunduliwa lini (quinine)?

4. utakuwa umeelewa kwa nini hakurudishwa kwao kwa ndege?
Mpaka hapo ushamaliza
 
Pole sana ndugu,ugonjwa wa maralia uliua watu sana mpaka wakati wa vita kuu ugonjwa huu bado ilikuwa hatari sana mpaka dawa ya chloloquine ilipopatikana.miaka ya Akina David Livingstone ni miaka ya giza sana.
 
Baada ya dawa ya maleria kupatikana ndio wazungu walikuja kugawana maeneo Africa
 
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda

Mmisionary huyu sehemu ya kwanza aliyoikanyaga baada ya kutua Tanzania ni Bagamoyo mkoani Pwani, mpaka Leo mlango alioingia kuelekea ndani ya kanisa upo na umewekwa Kama sehem ya makumbusho.

Sehem zingine alizoweza kutembelea ni Kenya, Zambia etc
• Miaka kadhaa baada ya kutua Africa alianza kuumwa malaria mpaka akafariki huko Zambia.

• Baada ya kufariki utumbo na ubongo wake vyote vilitolewa ili asioze.

• Baada ya hapo mwili wake mzima ulipakwa chumvi, kwa lengo la kuuzuia usishambuliwe na bacteria

• Baadae akawa anatembezwa maeneo kadhaa ya makanisa hasa hasa ya Pendekoste ili aagwe na waumini wake

• Baadaye zkaanza taratibu za kumsafrisha mpaka Uingereza, alisafirishwa mpaka Uingereza kwa kupokezana, yaani waumin wake walikuwa wanambeba mpaka eneo Fulani na wa eneo hlo nao wanampokea mpaka akafka Uingereza, na hii Safari ilichukua miezi sita. Hiki ndo kimeumiza sana akili yangu,yaan mait isafirishwe kwa miezi sita ikiwa imepakwa chumvi tu. Daaa sjui hali ilikuwaje wazeee!

Mwenye uelewa mpana kuhusu mmisionary huyu naomba anijibu maswali yafuatayo:

1. Ilikuwaje afe kwa malaria mtu msomi mkubwa namna hyo? Dawa za kumtibu zlikosekana kweli?

2. Kipind hicho ndege hazikuwepo mpaka maiti nasafirishwa kwa aibu hivyo kwa miez sita? Au kampuni lao lilikuwa maskini sana kias cha kukosa hela ya kusafirisha mait?
Wewe acha uongo! Unabebaji mwili kwa kupokezana kutoka Afrika hadi Uingereza? Ina maana kuna barabara kutoka Zambia hadi Uingereza?
 
Back
Top Bottom