Nahisi pia ni Raisanependa kuchezea akili za watu kwa kutumia slogan tofauti tofauti za kibwege
kama vile kujivua ga......
hali mp..... nguvu........ na kasi......samahani lakini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni Rais wa kwanza wa Danganyika,ambae aliwasababishia wadanganyika kuwa masikini wa kutupwa.Kuwaweka wadanganyika katika jela za wazi(vijiji vya ujamaa) na kuwa chakula cha simba.Mungu ampe adhabu ya milele huko aliko.