Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 978
- 933
ni kwamba udom kwa collage ya informatics hakuna kubebana maana kuhusu kusup ni nnje nje kinomaHatujaelewa mkuu Eleza vema
ni kwamba udom kwa collage ya informatics hakuna kubebana maana kuhusu kusup ni nnje nje kinomaHatujaelewa mkuu Eleza vema
Mimi sijabisha bali nimetoa ushauri kuhusu nini kifanyike endapo mtoa mada ameleta hoja dhaifu isiyo na vielelezo vya kushibisha HOJA yake, pengine lengo langu ni kuwa Watanzania tujaribu kusumbua akili zetu kidogo ili hoja ikiletwa basi iambatane na vielelezo vyenye kuhuisha ukweli wa hoja husika. Msomi anatakiwa kuja na HOJA yenye uthibitisho ndivyo tulivyofundishwa huko VYUONI, ndo maana tunapojibu maswali tunaweka CITATION pengine hiyo citation ni lazima iambatane na REFERENCE pia muda mwingine tunashauriwa kuweka QUATATION ', mimi pengine nilitarajia msomi uje na HOJA kwa kufuata hivyo vitu vitatu bila hivyo utakuwa msomi mwenye sifa ya UKASUKU. Wasomi leteni HOJA sio VIHOJA vya kudakia kwenye vijiwe vya kahawa.Kitu ulichokifanya ndio Utanzania wenyewe sasa.maana umebisha kwenye bishano ili mradi ubishe.ingefaa utoe data kutoka hicho kitabu chako ambazo ni kinyume na za mtoa mada.sasa hapa na wewe umetoa porojo na ndio uhovyo wa elimu yetu ya Tanzania.
kama cive mpaka sasa first class zipo 2, tuuUdom college of Earth sciences na Cive ukipata first class we n mbabe sana sana,hio Udom mnayoiongelea nadhani n tofauti na nnayoijua mimi...
Leo nilikuwa anazungumza Na wanafunzi kutoka UDMs, Na swali langu ilikuwa mwaka huu ni wangapi wamedisco ? Nikaambiwa 300 Kwa main campus mpaka branch zao lkn udsm ina wanafunzi karibu 16000, GPA ya mwisho ni 1.8.!!!! Lakin NIT mwaka wa masomo 2017/18 wamedisco 800 Na chuo kina wanafunzi karibu 8000 Na GPA ya chin 2.0,,,,Je point yako ya kusema udsm wakiamua kkukufelisha wanakufelisha inapata wapi nguv? Kwa huo uchambuzi udsm ni Bora?Udsm hata ka uko vzuri wanakufelisha kusudi mkuu. Wanaamini kufelisha ndo ubora wa chuo
MIMI nimesoma elimu pale UDOM MZIKI WAKE SI WAKITOTO MNAOBEZA ELEKEZENI NDUGU ZENU WAKASOME PALE MUONE WATATOKA NA NINI
Mjema amenifundisha kozi moja pale CoET ni mtata hatari. Hivi huyu mzee yupo CBE kama principal au yupo IFM?Wajomba wa pale hawanaga time na mtu, nyie mfeli hata darasa zima wao wanasonga tu. Hakuna cha kuuliza imekuwaje wala nini. Prof Mjema kama bado upo IFM, heshima kwako
Hoja hujibiwa kwa hoja. Takwimu kwa takwimu. Tafiti kwa tafiti. Kama mtoa hoja hana data kuna haja gani ya kumjibu kwa dataMimi sijabisha bali nimetoa ushauri kuhusu nini kifanyike endapo mtoa mada ameleta hoja dhaifu isiyo na vielelezo vya kushibisha HOJA yake, pengine lengo langu ni kuwa Watanzania tujaribu kusumbua akili zetu kidogo ili hoja ikiletwa basi iambatane na vielelezo vyenye kuhuisha ukweli wa hoja husika. Msomi anatakiwa kuja na HOJA yenye uthibitisho ndivyo tulivyofundishwa huko VYUONI, ndo maana tunapojibu maswali tunaweka CITATION pengine hiyo citation ni lazima iambatane na REFERENCE pia muda mwingine tunashauriwa kuweka QUATATION ', mimi pengine nilitarajia msomi uje na HOJA kwa kufuata hivyo vitu vitatu bila hivyo utakuwa msomi mwenye sifa ya UKASUKU. Wasomi leteni HOJA sio VIHOJA vya kudakia kwenye vijiwe vya kahawa.
Siyo kweli mkuu kafanye Kwanza full researchUdsm hata ka uko vzuri wanakufelisha kusudi mkuu. Wanaamini kufelisha ndo ubora wa chuo