Ni rahisi sana kupata demu kutoka udsm lakini sio ifm na cbe

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm
 
napita mkuu, habati nzur sijasoma katika hvyo vyuo ulivovitaja! ngoja wahusika waje wakudadavulie. . .
 
aaaah! wewe tu, mimi kuna katoto kamoja ka ifm nilikakamua vizuri tu, bila hata kuingia gharama zozote, kalikuwa kanaringa ringa mpaka sasa kanaringa kanajifanya kana mkia nini, mimi mtoto wa mbwa nikajimegea kiulaini tu, afu nikaachana nako mpaka leo kananikumbuka, wewe tu labda unaleta za kina bobjunior, weka ngumu kama n2n mkuu!
 
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm

Sio kuringa bro,kila mtu ana malengo yake kusoma certificate sio sababu ya kumchukulia mtu kirahisi au kumdharau....waache waringe kwani unawalisha wewe kama wamekutolea nje tafuta mademu wengine kwani lazma cbe na ifm...lol
 
Wanaringa au wanajiheshmu? Kwani uliambiwa ifm au cbe ni ohio au kwa mfuga mbwa? Au unafikiri kuwa mwanachua nikujiuza? Au kuchukua certificate ndo thamani ya utu wao haipo? Hicho kichwa chako umebeba mzigo wa bure? Waache dada na binti zetu wasome. Hayo mapepo yako ya ngono peleka kwa madada poa! Poor!
 
kweli kabisa, cbe na ifm wanajitia masista duu , nilipataga katoto pale udsm. mpk leo uwa nakakumbuka
 
Hii mada ina kashfa ndani yake!
Kwani mtu akiwa na cheti ndio ajirahisishe?
 
Mmezidi kuvidhalilisha hivi vyuo jaman..kana kwamba wanaokwenda pale si wanawake si wanaume wote wameenda kufanya matendo ya kiuasherati...wakati huo uasherati ni hulka tu ya mtu! Mnataka kusema huko havard na oxford hakuna wazinz.. anaejua umuhim wa elimu atafanya kinachomhusu na asiyejua ataogelea panapomfaa.. Otherwise,hata huko udsm kuna wenye tabia chafu.
 
CBE ipi au IFM ipi? kama ni hizi za Dar, Approach uliyoitumia ndo imekupa ugumu!
 
Watu tumeona mademu wa "Kumamoto University" nini CBE na IFM!

Kumamoto University

img_map.gif
 
Mozila bado tongotongo halijakutoka. IFM na CBE ndipo wenzako tunapomalizia shida zetu chap chap. Huitaji maneno mengi, eleza kuwa unataka mzigo. Utaulizwa tu utamrejesha saa ngapi kama utamtoa. Au kama vipi tunachapia bwenini, rahisi kama unasukuma mlevi. Hao wa UDSM wanapatikana corner Bar kijitonyama na Survey karibu na Ardhi University. Hawa ni malaya wa kujiuza. Ukiwataka pale UD kaa kwenye kibweta ukiwa smart, kama chatu na mbwa hakuna shida.
 
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm

Afadhali umetustua na mie nikatafute demu wa udsm. Wanajua discussion lakini?
 
Back
Top Bottom