Ni rahisi sana kupata demu kutoka udsm lakini sio ifm na cbe

Watu tumeona mademu wa "Kumamoto University" nini CBE na IFM!

Kumamoto University

img_map.gif


Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....

gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol
 
Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....

gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol

Hahaha,

Pia Mb.olo ni supermaket moja kubwa tu hapo Libreville.

P1010863%20%5BDesktop%20Resolution%5D.JPG
 
Uliingia kichwakuchwa ukapokea za kichwa uajipanga ulipoingia UD ukaopoa ukachukulia wa UD niwakirahisi hee!!
 
Acha ubwisi wewe Watoto wale Wapo kiumatemate zaid we unaenda na mi kalolite yako unauma uma midomo ATM inatema Coin unafkiri wanashobokea madesa wale kama sio member wa Epa,Kagoda nenda kwa ma Engineer wenzio wa Maji UDSM tuachie wenye jiji letu we kamba yako ya mguuni imekataa kukatika!
 
Wanaringa au wanajiheshmu? Kwani uliambiwa ifm au cbe ni ohio au kwa mfuga mbwa? Au unafikiri kuwa mwanachua nikujiuza? Au kuchukua certificate ndo thamani ya utu wao haipo? Hicho kichwa chako umebeba mzigo wa bure? Waache dada na binti zetu wasome. Hayo mapepo yako ya ngono peleka kwa madada poa! Poor!

ah ha ha... nimecheka kusikia kuwa kichwa kinaweza kuwa mzigo tu... af huyu jamaa amesahau kuwa hata wanaosoma digirii wana satifiketi.
 
Kunya anye kuku akinya bata..........???

Udsm mademu wengi mvuto hawana ndio maana rahisi kuwapata.
 
Hii nayo ni thread mtu kaanzisha?!! Ndo maana hatutoki kama hawa ndio vijana wetu wasomi, yaani kabisa umeamua kuanzisha thread? Eti Great Thinker!!! Ptuuuuu!!!
 
lol!Hawa ndo wananisubiri lecture nikadadavue marxist theory in literature!
 
Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....

gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol
The Boss!
 
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm
huyu binti aliyeanzisha hii thread, she must be a great sinker
hapa simahala pake mpendwa
 
Back
Top Bottom