Ni rahisi sana kupata demu kutoka udsm lakini sio ifm na cbe

Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....

gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol
Nakumbuka kama sikosei lilikuwa gazeti la Dimba, hawa jamaa walikuwa wawili mwingine alikuwa anaitwa Emil Mpenza
 
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm[/QUOTE

Watoto wa IFM/CBE wagharama wewe!Ukiona huwapati ujue wewe huna hela!Waachie vibopa wa Bot ndo wanawamudu.
 
napita mkuu, habati nzur sijasoma katika hvyo vyuo ulivovitaja! ngoja wahusika waje wakudadavulie. . .

mara nyingine huwa nikisoma baadhi ya threads hapa JF, napata picha ni wapi Taifa hili linapoelekea...wazee wanawaza uzinzi, vijana ndio usiseme
 
tushapita sana vyuo hivyo cjui unamaanisha nini hata kwa kusema ni rahisi kupata demu udsn lkn sio ifm na cbe!mbona tulikuwa nao huko tena sio mmoja kwa chuo kimoja, kibao!Enzi zetu tulikuwa tunajua approach!Huna sound labda!
 
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm

mkuu...wewe tuu domo uzege watoto wa cbe na ifm...mbona simple sana ushawahi kufika mitaa hii usiku ...
1.corner bar...
2.mlimani city mida ya usiku kama saa mbili katika kimgahawa kaa pale njee
3.jolly club....wee nendaaa...ukifika wee sema naweza onana na cbe...au ifm
 
hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm

ulitumia sample space ya ngapi mkuu? Usijekuta umetokea demu mmoja au wawili wakakukataa then unataka kutuaminisha kuwa hivyo vitoto haviingiliki,mind you that do not draw your conclusion from a single factor.
 
Back
Top Bottom