swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Mahakama inamuhusu ngoja ikamilike.
Try game na kikwete ndani kama Maufungio atamgusa lowa
swissme
Mahakama inamuhusu ngoja ikamilike.
Magufuli atam attack Lowassa hajipendi,urais wenyewe alioupata umetokana na Lowassa.
Na nadhani ndo maana walijihami kutimkia upinzaniLowassa sasa ni mpinzani, siyo ccm. Kumwekea vikwazo au hata kumshitaki kwa makosa aliyofanya kipindi akiwa kiongozi ni ngumu kuliko kikwete. Yeye anajulikana ni mpinzani, dunia inatambua hivyo, wananchi wanatambua hivyo.
Kwahiyo ikitokea eti serikali inataka kumchukulia hatua za kisheria ka makosa aliyo fanya itaonekana serikali inapambana na upinzani, inakandamiza upinzani na kudumaza demokrasia, na kuonekana pia serikali ina bifu na lowassa.
Lakini ni rahisi Magufuli kum-attack Kikwete kwani bado yupo ndani ya chama chake, ni ugomvi wa familia, na haitaleta shida sana kwenye jamii kwani na dunia nzima.
Nawasilisha.
CC: Lizaboni, Pasco, The Boss Mzee Mwanakijiji
magufuli atam attack lowassa hajipendi,urais wenyewe alioupata umetokana na lowassa.
Labda hajipendi huyo magufuri na ziro planning zake.
swissme
Utahaha sana fupa la samaki limekukwama mafisadi hamchomoki. Bora kuwa zero planing kuliko mzee ChekaCheka.Km umenuna katafune Tango
Wew unawashwa