General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Lowassa sasa ni mpinzani, siyo ccm. Kumwekea vikwazo au hata kumshitaki kwa makosa aliyofanya kipindi akiwa kiongozi ni ngumu kuliko kikwete. Yeye anajulikana ni mpinzani, dunia inatambua hivyo, wananchi wanatambua hivyo.
Kwahiyo ikitokea eti serikali inataka kumchukulia hatua za kisheria ka makosa aliyo fanya itaonekana serikali inapambana na upinzani, inakandamiza upinzani na kudumaza demokrasia, na kuonekana pia serikali ina bifu na lowassa.
Lakini ni rahisi Magufuli kum-attack Kikwete kwani bado yupo ndani ya chama chake, ni ugomvi wa familia, na haitaleta shida sana kwenye jamii kwani na dunia nzima.
Nawasilisha.
CC: Lizaboni, Pasco, The Boss Mzee Mwanakijiji

Last edited by a moderator: