Jamani ni raha sana kuwa mama. Ni nini unaweza kuelezea kutoka kwenye picha hii?
![]()
Haaaa haaaa unaye?
Ni kweli BAK. Ni rahasana.
Mkuu nimehuzunika sana kwa kweli, sina cha zaidi maneno yamenipotea.Jirani yangu was not so lucky......am sorry for the picture!....but that's the cruel side of life
![]()
Jirani yangu was not so lucky......am sorry for the picture!....but that's the cruel side of life
![]()
Ni raha zaidi kuwa na mke na mwana!
Ooh!! Jesus!
What went wrong?
Mkuu nimehuzunika sana kwa kweli, sina cha zaidi maneno yamenipotea.