Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

hata uwe msafi kiasi gani...huwezi kuviosha vyombo vya habari.
 
Wazo la leo" Utaosha vyombo vyote lakin huwez kuosha vyombo vya habari"...
 
hata uwe na tamaa kiasi gani...huwezi kutamani kifo...
 
hata umpende mpenzi wako vipi utaishia kuoga nae tu, kunya utaenda mwenyewe
 
Ukiona Vifaranga vipo juu jua mama yao yupo chini-Zito
Nilijiunga CDM mwaka 1993 kipindi hiko Padri akiwa ameikumbatia CCM-Zitto
 
"Ukiona unapendwa sana na madem, ujue una nyota ya chips"
 
Back
Top Bottom