stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Fanya uhuni na usela wako woote lakini NYETO haina MTUNGO
Fanya uhuni na usela wako woote lakini NYETO haina MTUNGO
Hata daladala lijae vipi Konda habanwi!
Hah hah haaah we jamaa ni kichwa ile kishenzi...
Kama kawaida hiphop hapa,,,2kutane Dolphin kesho nikimtoa Real na ww 2takua per1 2kimtoa Barca ndan ya Camp Nou
Hata daladala lijae vipi Dereva hakosi kiti...
ukitaka kujuwa vichochoro kula nauli...
wandugu mi kwa kuanzia tu nimevutiwa na kamsemo haka "mficha moto kwenye msitu lazima moshi utamuumbua"