Anayesema ukilala sana na malaya huwezi kuwa tajiri aniulize mimi!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Jumatano njema!

Angalizo: nitatumia lugha zisizo rasmi kwenye uzi huu.

***************************************

Kuna vitu vinachekesha mno. Sasa kuna linkage ipi kati ya ngono na wanawake na kuwa na kibunda? Hivi kuna faida gani kwenye kujiongopea wewe mwenyewe na kuwaongopea watu?

Ni mwanaume rijali, nina matamanio na ninapenda ngono sana, kuna tatizo? Napenda maungo ya wanawake mno kuna shida?

Niwe mkweli, mimi napenda ngono mno na nina udhaifu wa kutotosheka na mwanamke mmoja, na hata kuongeza mke nafikiri nitaongeza.

Mbali na haya yote, maisha mazuri ninayo, na nilifanikiwa katika umri mdogo tu.

Nafikiri Mungu anapotoa haangalii kama unalala na wanawake au unapenda ngono sana.

Nakumbuka kabla sijaoa miaka hiyo nilikuwa napenda mno kulala na malaya. Kama ni nuksi basi mimi ningekuwa wa kwanza kuzipata. Why nipo financially stable? Kwa sababu nilikataa kujiongopea na kumdanganya Mungu! Hofu ni mbaya!

Nilikuwa nawala malaya kavu kavu back in days, hizo nuksi ziko wapi? Uongo mtupu! hakuna cha nuksi wala kaka yake nuksi.

Sisemi watu walale na malaya, nisinukuliwe vibaya tafadhali ila nauumbua uongo uongo waliojitungia watu na kutaka wote tuuamini.

Huna chochote wewe binadamu cha kumshawishi Mungu akupe mali, usijiongopee na usijaribu kumuongopea Mungu.

Wanaosema hawazini, hawapendi ngono nk, ndiyo makapuku wakubwa, kwa nini? Kwa sababu wanamuongopea Mungu. Kwamba wabarikiwe kwa sababu eti siyo wazinzi never! Mambo hayaendi hivyo.

Sijisifii kuwa nina hela sana. Hapana, ila najaribu kusema kuwa huna chochote cha kumshawishi Mungu akubariki, huna. Mungu akiamua kukupa anakupa tu iwe unapenda makalio, mapaja, uchi au la!

Hoja ya kusema eti ukila malaya au ukizini hupati pesa au Mungu hakubariki, ipuuzwe. Mnawadanganya sana watu.

NB: Sina tabia hizo now, nilishaacha. Niliacha mwenyewe na si kwa kulazimishwa.
 
sababu ya kuziacha ni nini mkuu
 
Mungu na shetani wote wanatoa utajiri.
Kama utajiri wako unatokana na maagano na Mungu, ukizini umevunja agano na utajiri wake aliokupa anauchukua. Usidanganye watu
Wewe una maagano na upande wa ibilisi ambao ngono kwake sio issue
 
Kumbe uliacha ,maana yake ulikutana na cha moto ...vitu vzuri vyote haviachwi ..

Niamini mim Hakuna usalama wowote WA kiafya ,kiakili ,au kiroho WA kulala na Malaya Mzee ...

Malaya Ni Mtu aliyelaaniwa ,kuinamishwa na Kila MTU na kuingiza dushe Kila tundu alilonalo Ni nuksiii itakayotawala kizazi hadi kizazi ...

Kaaa mbali na Malaya ,labda ulale nae Bila kujua ...
 
Niliacha kutokana na ubize na familia. Na wakati huo na bado hela hazikukauka kwangu
 
Back
Top Bottom