Ni pepo la ngono wala si jini mahaba

Ni pepo la ngono wala si jini mahaba

Nimekuelewa ila mchezo wake wa kuwafanyia wanaume 'mambo yake binafsi' Si wa kiunggwana na siku akijichanganya akaingia anga la wakubwa tunamkaanga na kunywa supu yake kama ngisi aliwavyo!

Tutauzibua mtaro wale tena kavkav bila lubricant yoyote
 
Mshana umeelezea tafsiri ya Jini mahaba na kuwa na pepo la ngono,seem nimekuelewa...sasa nikataka unieleweshe zaidi kuhusu huyu mwenzetu popoz yeye ana pepo ama ana jini mahaba maana nimesikia sana hadithi zake za kuwapasulia mayai watoto wa kiume!

Huyu ni firauni mshenzi tu wa tabia hana pepo la ngono wala jini mahaba, huyu kazi yake ni kudhalilisha vidume.. ni aina fulani ya uwehu au wendawazimu

Vilevile huyu ni kiumbe huru
 
Hivi vichwa vyetu.... vinajifunza mambo mengi sana
 
...juzi kati nilipanda daladala ya kuelekea Uwanja wa ndege (DIA)..., tilipofika maeneo ya tazara kelele za mama mmoja zikaanza kusikika... "kwanini unaniwekea uume wako kwenye mwili wangu? ...mwangalie huyu! ...niukate? niukate? ..kwanini umenichafua? ...niukate?
alisikika mama huyo" ...loh! kumbe jamaa alitoa uume wake nje, akamwekea yule mama kwa nyuma! na mama yule akabatika kuunasa uume wa njemba! abiria' aaah!
...yule mama anazidi kupaza sauti "niukate?"
...njemba ikawa imebaki kimya!
...mama akaachia dudu!
...abiria wote wakashikwa na butwaa..., jamaa kimya kimya akashuka...!

"...natumaini huyu jamaa ana pepo la ngono..."

Maskini..! Sometimes ni ..ge tu zimemzidia au ana tabia ya fisimaji
 
Loooh! Kweli pepo hilo
 
Maskini..! Sometimes ni ..ge tu zimemzidia au ana tabia ya fisimaji

...fisimaji! duh!
mkuu umenikumbusha kule kanda ya ziwa Victoria..., ni wengi sana! a.k.a yao wanaitwa "t*mba to*ba"
 
Back
Top Bottom