Wakuu naomba kujuzwa ni pad/tablets gani bora za aina ya XIAOMI
Shukran, kama haziingii line then zina operate vipi Mkuu nijuzeunataka ya windows au android?
kwa windows kuna xiaomi mi pad 2
kwa android kuna mi pad 2 na mi pad 3.
sema haziiingii line ujue hilo.