Ni ombi tu kwa Serikali, kwenye dhifa za kitaifa Azam wawe warushaji wa tukio

Salaaam

TBC wanatuangusha Sana kwenye kufanya live coverage

Naangalia dhifa ya kitaifa live kutoka Ikulu, Yan dah aisee ni full makelele

Ni bora wangeacha bila kutafsiri coz hatusikii maneno ya Rais wa Malawi wala maneno ya translator

I think Azam wako vizuri sana kwenye hizi mambo
Na Baraka mpenja awe mtangazaji.
 
Hiv Kuna watu had leo bado wanaangalia TBC mimi niliacha kuangalia enzi zile za jumba la dhahabu
 
Back
Top Bottom