Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,708
- 1,553
Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka sumu zake hapa.
Mimi naanza na
Unaweza kuupload list yako au kushare link itakayotupeleka moja kwa moja kwenye wimbo.
" Mwenye list kali atapigiwa kura na atapata zawadi"
Mimi naanza na
Unaweza kuupload list yako au kushare link itakayotupeleka moja kwa moja kwenye wimbo.
" Mwenye list kali atapigiwa kura na atapata zawadi"