Ni wimbo gani mzuri kuliko zote ulizowahi kusikia?

2pac dear mama, Jay Z forever young,Ngwair Bado nalia, Beyonce broken hearted girls, Fid Q propaganda,Diamond Mawazo,Baraka mwinshehe mtaa wa saba na kuna ile ya kifo hakina huruma aliyeimba nimemsahau jina na ile ya wataka kuniua bure mamaa
 
Binadamu sio wema - Orchestra Safari Sound Ndekule Ngoma
Pesa Zinanisumbua - Bima Lee
Ikiwa Kama Hunitaki - Nuta Jazz Band Msondo Ngoma
Mkuki Moyoni - Safari Trippers
Mwana Rudi Uoe - Dar International
Hongera Wana Kisomo - Orchestra Mlimani Park
Sikia Nikwambiavyo - Nuta Jazz Band Msondo Ngoma
 
Stranger in my house-Tamia

Mwana-Alikiba

Mpweke-Banana Zorro

Unbreak My Heart-Toni Braxton

Gheto Langu - Ngwea

Sorry 2004-Rubben Studdard

Mapenzi Yanarun Dunia-Alikiba

Ukimuona-Diamond

Sheila-Ester Wassira

Energy-Keri Hilson

Piano Man-Brand
 
Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka list yake hapa.

Mimi naanza na

Unaweza kuupload list yako au kushare lick itakayotupeleka moja kwa moja kwenye wimbo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee mwandiko wako unafanana na rafiki kipenzi. Tulikula sana mihogo mshikaki pale Dodoma. Je, ni ww?
 
Changes - 2pac
Dreams - bay2men
for a moment - Brooks Hoogan
May it be - Enya
Ukimuona - Diamond
Forever young - Jay Z
Frozen - Madona
Turn back the hands of time - Rkelly
Now we are free - Lisa Gerald and Hans Zimmer
Don't judge me - Chris Brown
 
Back
Top Bottom