Ni nini wanawake humaanisha wanaposema wanahitaji 'Real man'

Ni nini wanawake humaanisha wanaposema wanahitaji 'Real man'

Siku hizi real man anapimwa na uwezo wake kitandani na fedha (kuhonga).Hivi vitu vyote still haviwakilishi uwajibikaji, mwanaume anapimwa na uwezo wake wa kubeba majukumu ya familia yake.

Ila ndio hivyo kuhongwa wanahongwa, show kitandani wanaipata ila cha ajabu wanaachwa. Unaweza ukafake kuwa upo vizuri kitandani kwa kutumia booster na vilevile unaweza ukafake unahela kwa pamba na magari ya kuazima ili uonekane una hela. Ila real man ni maisha halisi,ambayo vijana wengi wa kiume wanayaogopa,ila walio serious huonekana washamba,hawana swaga, sio wazuri kitandani ila wanauwezo mkubwa wa kubeba majukumu na hawakimbii misalaba yao,ila dada zetu huwaga hawawaoni.
 
Hii kitu si maramoja nasoma na kusikia kwa watu anyway uzi bila Natafuta Ajira Zemanda Intelligent businessman hujakamilika
IMG_20251027_183636.jpg
View attachment 3494751
 
Yeye na famili yao hawana hela, anahitaji mwanaume mwenye pesa

Yeye kajifoji kwa mkorogo, mawigi na kigodoro, anahitaji mwanaume natural mrefu, wenye six pack

analea watoto wa baba tofauti, anataka mwanaume asie na mtoto
Kizimkazi nako pashachoka pashachakaa
 
Baada ya kuvunjwa bikra na kutelekezwa utaskia wanakuja na kauli mbiu tofaut tofauti
 
Real man ana sifa tatu tu:-
1. Pesa.
2. Anapiga show ya maana.
3. Hacheki na wowote akikwazika
 
Back
Top Bottom