Ni nini sababu inayowasukuma Wazungu na weupe kutubagua waafrika hasa weusi!?

http://en.m.wikipedia.org/wiki/How_Europe_Underdeveloped_Africa

Mkuu hiyo issue ya ''how Europe underdevelop Africa'' mimi sitaki kabisa kuisikia na kwa kifupi nimeshaisoma sana kuanzia sekondari mpaka chuo. Hii ni excuse ya kijinga sana na haina uhusiano wowote na uduni wa mwafrika. Kuna mataifa kibao yalipata shuruba na wengine kuuawa eg Israel lakini mpaka sasa wana maendeleo makubwa kabisa sisi tumebakia kusingizia vitu vilivyotokea miaka mingi iliyopita.
 
Back
Top Bottom