Ni nini neno halisi site au side mirror?

Site mirror ni kioo cha ndani kitazama view ya nyuma. Kabla ya kuhama kutoka eneo moja kwenda pengine sharti ujue nini kinatokea nyuma kuziba site uliyointend kuhamia.

Side mirror / turning mirror ni vioo vya pembeni. Hutumika kwa ajili ya kurudi nyuma upande wa kulia au kushoto. Pia waweza kuibia ukachungulia nyuma wakati unaomba site/ kuhama location ulipo kiupande upande. Kioo cha kuona ya nyuma site mirror ukaa ndani. Vya side mirror ukaa kila side/ upande.
 
Ajabu sana hii, nyote mnaongelea kitu kimoja mnachokielewa ila mnabishana lugha. Use words interchangeably since you all agree on the concept and the use...please.
 
Watu wanachanganya kati ya site na sight. Nafikiri wanaitumia site/sight wanatumia slogan ya THE SAME PRONOUNCING BUT DIFFERENT TERMS


Sight = kuona

Site = eneo


Conclusion:
Kutokana na mazingira ya mada maneno yaliyo sahihi kutumika ni SIGHT MIRROR or SIDE MIRROR

Hiyo SITE MIRROR tupa kule waaachie watu wa civil na electrical engineering
 
f9fa60119fc3e06183f857dc769211be.jpg

sight mirror - Google Search
Vioo vyote vya kuakisi taswira(mirror), vikiwa kwenye chombo kinacho move vinaitwa sight mirror
http://www.munchkin.com/baby-in-sight-reg-soft-touch-trade-auto-mirror.html
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Acheni uongo,mleta Uzi kakosea spelling...ni sight mirror...hivi ndio vioo vya vyombo vya moto kama magari,pkpk na baiskeli.ahsante...pinga kama kwa hoja!
 
Nijuavyo mimi vioo vyote vya ndani na nje ni SIGHT MIRRORS, katika hivyo, vile vya nje ni SIDE MIRRORS.
 
Mkuu wasikuchanganye hao vile vioo vinaitwa SAIDI VUAI MILA, jina hilo limetokana mvumbuzi wa hivyo vioo ambaye alikuwa mzenji, miaka ya nyuma magari yalitengenezwa bila ya kuwa na vioo pembeni hivyo huyo mzenji akaja na huo ubunifu wa kuweka vioo.
 
Ndugu wadau naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno hayo mawili nami natatanika lipi ni sahihi kitaalamu.
mpaka unashusha huu uzi ungeingia tu google.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom