Ni nini neno halisi site au side mirror?

Augustino Fanuel Massongo

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
1,278
666
Ndugu wadau,

Naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno hayo mawili nami natatanika lipi ni sahihi kitaalamu.
 
Kwanza tujue maana ya maneno yote mawili.
SIDE ni neno la Kingereza lenye maana ya upande/pembeni.

SITE ni neno la Kingereza lenye maana nyingi. Huenda pakawa eneo ambalo kitu kilifanyika,kinafanyika au patafanyika. Mara nyingi humaanisha sehemu ambapo ujenzi unaendelea.
Pili,site huweza kumaanisha mkusanyiko wa webpages katika internet.

MIRROR ni neno la Kingereza likimaanisha Kioo.

Baada ya kuyajua hayo yote turudi kwenye swali lako la Msingi.
Kwa tafsiri nyepesi na rahisi Vioo hivyo huitwa SIDE MIRRORS lakini Kingereza chake halisi kabisa Ni SIDE VIEW MIRROR , zikiwa zinamaanisha vioo vya pembezoni ua vioo vya upande wa chombo cha Usafiri kama Baiskeli, Pikipiki au aina mbali mbali za magari.
 
Acha umbumbu ni sight mirror physics form two

VP kuhusu ile nanilii na under break au hand break IPI sahh
 
Kwanza tujue maana ya maneno yote mawili.
SIDE ni neno la Kingereza lenye maana ya upande/pembeni.

SITE ni neno la Kingereza lenye maana nyingi. Huenda pakawa eneo ambalo kitu kilifanyika,kinafanyika au patafanyika. Mara nyingi humaanisha sehemu ambapo ujenzi unaendelea.
Pili,site huweza kumaanisha mkusanyiko wa webpages katika internet.

MIRROR ni neno la Kingereza likimaanisha Kioo.

Baada ya kuyajua hayo yote turudi kwenye swali lako la Msingi.
Kwa tafsiri nyepesi na rahisi Vioo hivyo huitwa SIDE MIRRORS, zikiwa zinamaanisha vioo vya pembezoni ua vioo vya upande wa chombo cha Usafiri kama Baiskeli, Pikipiki au aina mbali mbali za magari.
Nakushukuru sana.
 
Side mirror kioo cha pembeni
Site mirror kioo cha kuonyesha eneo
Sight mirror kioo cha kutizama
So what?
Conclussion
SIDE MIRRORS!!
 
A wing mirror, also known as the fender mirror, door mirror, or side view mirror, is amirror found on the exterior of motor vehiclesfor the purposes of helping the driver see areas behind and to the sides of the vehicle, outside of the driver's peripheral vision (in the 'blind spot').
 
Back
Top Bottom