Ni Nini Mbaya Jamani

wanafikiria maisha hao kwa kuwa hela yenyewe ya mahari wamechangiwa.
Nalog off
 
wanalia wakifikiria deni la mahari watalilipaje, kukopa harusi kulipa matanga
 
ahahahah.....imekula kwao, wamegundua ndo mwisho wa kula good time na kwenda kulala kwa washkaji, kucheki movie hadi saa tisa usiku. ahaha. ila nadhani bado wana upenyo wa kukimbia hapo....mbona corridor nyeupe tu.ahahha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…