ni kweli ya ukweli Mkuu!; na hasa angekuwa rais wa jmt au ile post ya Bilali!
Vp awe Rais wa JMT wakati kuwa Rais wa znz tu ilishindikana au hukumbuki wakati bado yupo ccm alipo gombea Urais wa znz na marehem mzee Idirisa Abdul Wakil nini kilitokea ktk uchaguzi huo na mzee wakil akawa mgombea na akawa Rais wa znz kwa muhula mmoja tu? Seif amekuwa mpinzani wa ccm na muungano tokea akiwa bado hajawa na madaraka makubwa ktk smz na wakati huo mfumo ni wa chama kimoja mpaka akiwa wazir ns mpaka akiwa wazir kiongozi wa smz bado seif ni mpizani wa muungano wa serikali 2. Na ndio kilicho mfukuzisha ccm. Ndio maana seif anapendwa sana visiwani na nataka ujue seif sio tu ni katibu Mkuu wa Cuf na makamo wa 1 wa Rais wa smz, seif ni cheif / mwene ktk Ardhi za znz. Kwahiyo usiwe na imani kama ange ukwaa urais wa znz au wa Jmt angenyamaza sio kweli leo hii falsafa ya seif juu ya muungano imekubalika na mazee wa ccm znz na imewaunganisha wazee makonred wa znz na wanachana wa ccm na cuf kuwa kitu kimoja fuatilia siasa za znz utaamini haya nilio kuandikia. Leo seif, karume, salmin , mzee Moyo na wengine wengi lao moja hawautaki muungano wa serikali 2.
Kutokana na kauli kama hizi zako, pia nimegundua kwamba wengi huko Zanzibar mnaopiga sana kelele kwamba hamuutaki muungano ni malofa tu wa mitaani msio na mbele wala nyuma kimaisha, na wala haina maana kwamba muungano ukivunjika hali zenu kimaisha zitakuwa bora. Kama sio malofa basi ni wale limbukeni wa madaraka. Mnadhani kwamba muungano ukifa basi hali zenu zitakuwa bora sana, wavivu nyie. Wengi wenu mtaendelea kuwa malofa na huenda mkawa ndio chanzo kikubwa cha machafuko yatakayotokea Zanzibar baada ya kuwa mmejitenga na bara.
Ukweli ni kwamba natamani sana muungano uvunjike ili angalau nithibitishwe, mimi na watu wengine kama kina Nyerere, kwamba tulikosea kudhani Zanzibar haitakuwa shwari baada ya muungano kuvunjika.
So bring it on, na tuuvunje muungano.
Weye inaonekana ni shoga kweli tena ni hanisi na mjinga mkubwa hujui hata unachokiandia hanisi laamal
Nilijua utatema povu tu kama ulivyofanya, kwanza hunijui mimi ni nani. Wazawa unaowasema ni aking nani? Unafikiri kila mtu kasoma shule za kata? Kuhusu ubaguzi, Wazanzibar ndiyo mabingwa wa ubaguzi, lichukue hilo kama hulijui.
ni kweli ya ukweli Mkuu!; na hasa angekuwa rais wa jmt au ile post ya Bilali!
mimi pia siutaki muungano wa serkali.2 sikuutaka kabla hata Seif hajauona batili sababu kauona unamzibia kuwa rais wa znz na jmt! Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo! Inashangaza kwamba!; walahi mie sitaki, walahi mie kunde sitaki huku wazila! Huoni huyo ni fasqi! Ndipo mleta uzi ameuliza huyu bwana ana matatizo gani?Vp awe Rais wa JMT wakati kuwa Rais wa znz tu ilishindikana au hukumbuki wakati bado yupo ccm alipo gombea Urais wa znz na marehem mzee Idirisa Abdul Wakil nini kilitokea ktk uchaguzi huo na mzee wakil akawa mgombea na akawa Rais wa znz kwa muhula mmoja tu? Seif amekuwa mpinzani wa ccm na muungano tokea akiwa bado hajawa na madaraka makubwa ktk smz na wakati huo mfumo ni wa chama kimoja mpaka akiwa wazir ns mpaka akiwa wazir kiongozi wa smz bado seif ni mpizani wa muungano wa serikali 2. Na ndio kilicho mfukuzisha ccm. Ndio maana seif anapendwa sana visiwani na nataka ujue seif sio tu ni katibu Mkuu wa Cuf na makamo wa 1 wa Rais wa smz, seif ni cheif / mwene ktk Ardhi za znz. Kwahiyo usiwe na imani kama ange ukwaa urais wa znz au wa Jmt angenyamaza sio kweli leo hii falsafa ya seif juu ya muungano imekubalika na mazee wa ccm znz na imewaunganisha wazee makonred wa znz na wanachana wa ccm na cuf kuwa kitu kimoja fuatilia siasa za znz utaamini haya nilio kuandikia. Leo seif, karume, salmin , mzee Moyo na wengine wengi lao moja hawautaki muungano wa serikali 2.
mimi pia siutaki muungano wa serkali.2 sikuutaka kabla hata Seif hajauona batili sababu kauona unamzibia kuwa rais wa znz na jmt! Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo! Inashangaza kwamba!; walahi mie sitaki, walahi mie kunde sitaki huku wazila! Huoni huyo ni fasqi! Ndipo mleta uzi ameuliza huyu bwana ana matatizo gani?
ahaa! Nikupe mfano hai; wewe na mimi tumeamua kuunganisha maduka yetu!; kuna njia mbili tu! .1; uvunje duka lako na mimi nivunje duka langu tuyaunganishe tuwe na duka moja la muungano!. Ima tuchukue sehemu sawa ya maduka yetu ili tuunde duka la muungano!; hii ya duka langu liwe la muungano na duka lako liwe lako tu, hiyo ni akili ya maiti tu inayoweza kukubaliana na upuuzi huo!Ww unataka muungano wa aina gani na kwasababu zipi zilizo kufanya huu wa ser 2 uukatae na huo unao utaka una upeda kwa sbabu zipi?
Mimi ni Mtanganyika lakini inapotokea suala la Wazanzibar kudai Nchi yao kiukweli hunikosha roho yangu!
Na kwa taarifa yenu tu ni kwamba hata kabla halijatokea hili vuguvugu la katiba mpya wenzetu tayari walikuwa wameshajipanga kuikomboa zanzibar yao kutoka kwenye makucha ya mkoloni.
Katika mchakato huu wa katiba wadau wakuu wa mwisho ni KIKWETE+ SHEIN+SEIF, Maalim hatasign pasipo kuiona zanzibar kamili.
Na hata ikitokea mchakato usifanikiwe mpaka uchaguzi 2015, Seif ndio atashinda urais wa Zanzibar na watakapokutana na rais wa URT kwenye kuteua jina la waziri mkuu Seif atapitisha jina la JUSSA kwa shinikizo la kuvunja muungano kama rais wa urt atapinga uteuzi wa Seif.
Sasa pata picha ya timbwili litakavyokuwa kwenye baraza la mawaziri chini ya waziri mkuu Jussa, lazima CCM wafyate mkia unless muwauwe mapema JUSSA,SEIF na kundi lao.
ahaa! Nikupe mfano hai; wewe na mimi tumeamua kuunganisha maduka yetu!; kuna njia mbili tu! .1; uvunje duka lako na mimi nivunje duka langu tuyaunganishe tuwe na duka moja la muungano!. Ima tuchukue sehemu sawa ya maduka yetu ili tuunde duka la muungano!; hii ya duka langu liwe la muungano na duka lako liwe lako tu, hiyo ni akili ya maiti tu inayoweza kukubaliana na upuuzi huo #3 ! Dhahir eeh?
Barubaru,
Naomba usinitoe kwenye kiini cha maandiko yangu. Nataka nikufahamishe kabisa kwamba, kama ni udini, Tanganyika hatunao wala hatutakaa tuwe nao. Udini hukuzwa sana na Wazanzibari. Kwetu, tunaoana na kuoleana bila kujali Kabila, Kanda, Dini. Hatuangalii ngozi bali tunaangalia maisha ya wawili hao.
Zenj, mnaangalia sana Dini na Ukabila/unasaba. Tanganyika hatuna hayo.
Kuhusu imani za kishirikina, hata huko Zenj zipo tu. Tutamaliza hili tena kwa fast trac. Usiogope.
Ati kuna rushwa na ufisadi, wapi? Tanganyika au Tanzania? Kila mahali ufisadi na rushwa ndiyo neno la siku. Hata Unguja huo upo.
Mfumo Kristu sijui uliuona wapi, kama mtu kuitwa John ni kosa kuongoza ati kwa kuwa kuna mwingine hapo anaitwa Juma basi hatuna haja ya kupiga kura kwani huyo John alichaguliwa na wote, Waislam na Wakristo mpaka wapagani. Hivyo weye kuuita huo mfumo Kristo ni kosa kubwa kwani unawafanya wengine hawana ufaham ila weye ndo mwenye huo ufaham tu. Pole sana.
ahaa! Nikupe mfano hai; wewe na mimi tumeamua kuunganisha maduka yetu!; kuna njia mbili tu! .1; uvunje duka lako na mimi nivunje duka langu tuyaunganishe tuwe na duka moja la muungano!. Ima tuchukue sehemu sawa ya maduka yetu ili tuunde duka la muungano!; hii ya duka langu liwe la muungano na duka lako liwe lako tu, hiyo ni akili ya maiti tu inayoweza kukubaliana na upuuzi huo #3 ! Dhahir eeh?
Kila ninaposikia kauli za Maalim Seif juu ya Muungano, ninapata picha kwamba zinazotelwa na mtu mwenye hasira sana dhidi ya serikali ya Tanzania, hususa Tanzania Bara. Sizioni kauli za Seif kama zinazotolewa na mzalendo wa Zanzibar, bali kama zinazotolewa na mtu mwenye hasira ya kisasi dhidi ya watu fulani. Katika kauli zake nyingi zimejaa "exaggeration" za hali ya juu, za aina ya mtu ambaye anataka kuwakomoa watu au kikundi fulani.
Sasa najiuliza, ni nini kinachomsumbua Maalim Seifu hadi kuwa na hasira ya namna hii?
Ni wazi kwamba si uzalendo wa kuwa M-Zanzibar. Kumbuka kwamba Seifu alitoa mchango mkubwa kwenye kuwajibishwa kwa Abdu Jumbe. Sefu alimchukulia Jumbe kuwa msaliti wa Muungano. Seifu ni mojawapo ya Wazanzibar waliofaidi na kuneemeka sana na Muungano. Bila muungano Seifu asingekuwa hapo alipo. Sasa ni nini kilimbadili Seifu? Je ni hasira baada ya kugundua ndoto yake ya kuwa Raisi wa Zanzibar isingetimia kupitia CCM? Au ni baada ya mashitaka na tuhuma alivyofanyiwa huko nyuma na sasa anataka kisasi?
Kuna mambo Seifu anataja kama faida za Zanzibar kujitoa kwenye Muungano ambayo ukifikiria utaona kwamba anawadanganya WaZanzibar kwa kuwa hayatawezekana, hata kama kweli watajitenga na muungano, kwa kuwa ni ndoto za alinacha, hayako "realistic". Sasa je, Maalimu Seifu anaona kwamba anaingia uzeeni na sasa kuna dalili kwamba kamwe hatakuwa raisi wa Zanzibar na hivyo anaona ni bora tu alivuruge?
Ni nini kinachompa hasira hii Maalim Seifu, na lengo lake ni nini hasa?
nataka nataka ntaka miye! mtoto alilia pipi tena! Wee hau unaelewa maana ya mfano Hai? Halafu nawe unajiita GT! GT hatafuniwi bana! Nimejuaje kama wewe ni balahau? Umeniambia!? Jiulize utafakuri uKokotoe huo mf, Hai!. halafu uje hata na mf; mfu! humu utaeleweka tu! Na sio ili muradi unapost kujaza server kukidhi upenzi wako kwa maalim! Iseme haqu lau kanna mura ili uwe huru!Nadhani hujanijibu niliyokuliza ungenijibu halafu ndio ukanipa huu mfano wako
Sijawahi kulisikia hilo ila niliwahi kusikia Padri kapigwa risasi kama ngiri kisa ni dini yake tu. Nikasikia mtu na mkewe wameuawa na kutupwa kisimani na zege juu kisa dini.
Kipi bora, kuchinja au kumkataa mtu kwa anachokiamini yeye wala si miye? Ati 99% hata angekuwa 1 tu naye msikilizeni ndo maana ya minority
nikujibu kifupi tu Mukulu wane kwamba!; 'Njaa inaponza makalio!.' na ukipanda bange huwezi vuna nanasi! Teh teh teh teh!Maskini ya Mungu yule mzee mwenzangu Bilal anavyomdhalilishwa in his profession he would have been in Geneva anaiwakilishaTanzania katika IAEA. UMAKAMU gani ule wa kufunguwa hafla na kukaribisha wageni? Amemfanywa afikiri ndio anauzwa kwa wananchi ili awe candidate wa 2015 hali inajulikana kama hapewi. Maalim si alifungwa miaka miwili kwa kutarajia CUF itakufa kwa notion mliopandikiza eti CUF ni Seif na Seif ni CUF matokeo yake ndio muongo huo chama kile kilipata nguvu ya kukiwa na umashuhuri na kuongeza wanachama. Mimi si mwanachama wa chama chochote so maoni yangu hayana bias hapa.
Sijawahi kulisikia hilo ila niliwahi kusikia Padri kapigwa risasi kama ngiri kisa ni dini yake tu. Nikasikia mtu na mkewe wameuawa na kutupwa kisimani na zege juu kisa dini.
Kipi bora, kuchinja au kumkataa mtu kwa anachokiamini yeye wala si miye? Ati 99% hata angekuwa 1 tu naye msikilizeni ndo maana ya minority