Ni nini HII?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Jamani hii ni aibu.
Licha ya kuwa tukio hili lilitokea siku nyingi, lakini naamini kabisa ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha kuporomoka kwa muziki wa BONGO FLEVA.
huyu aliye mtupu ndio MFALME WA RHYME, je huyo mtu wa kawaida atafanya nini kwenye kadamnasi iwapo mfalme wake anavua nguo hadharani? jini.jpg
 
Eti mfalme.... kweli bongo fleva ni mzika wa MAJUHA
 
Jamani hii ni aibu.
Licha ya kuwa tukio hili lilitokea siku nyingi, lakini naamini kabisa ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha kuporomoka kwa muziki wa BONGO FLEVA.
huyu aliye mtupu ndio MFALME WA RHYME, je huyo mtu wa kawaida atafanya nini kwenye kadamnasi iwapo mfalme wake anavua nguo hadharani?View attachment 22423
nimegundua kuna wengi wageni kwenye internet....hio picha ni ya long time na ishakuja jf long tiiiiiiiiime kitambo.....sasa wewe waileta leo hi??

....mods pls futeni idiotic thread kama hizi...
 
Jah people smokes weed...when they dont ..they can not perform... Huo ni msemo wa rafiki mmoja toka jamaica anyeamini bila kuvuta bangi rasta man can not perform well...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom