Ni nini HII?

anajidhalilisha mwenyewe,ila muziki wa bongo flava,bado una sifa zake na heshima yake...
 
Eti hapa alijitetea kuwa wakija akina 50 na wakafanya hivyo mnawashangia eti yeye mnampeza....inatia aibu na inatisha..si kila kitu lazima uige na ndio maana sasa wanaoga na Ushoga
 
Pia aliwahi kuoimba kuwa "Mimi msanii ni kioo cha jamii". I was wondering kwamba kuwa kioo cha jamii ni kufanya aliyoyafanya! Kweli Pombe si maziwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom