jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,243
Kwani huyo mzee wako mliongea naye akakwambia 2025 ataondoka.Wasubirie 2025 baada ya huyo Mzee wako kumaliza muda wake wa utawala.
Leo nimekuelewa sana bwashee!walizaliwa kuwa kwenye siasa? wote wamekuwa kwenye siasa kwa migongo ya baba zao, sasa sioni shida, sema kwa vile hawana kazi yoyote ya taaluma yao.
Kwa hiyo Chuo kikuu cha DSM ndio imekuwa jalalani?Watakuja kuibuka tu at the right time. Ndivyo siasa zilivyo
Huoni watu kama Kabudi na Bashiru Ally Kakurwa wameibuliwa tu ghafla kutokea “jalalani”?
Sijasema mimi. Wamesema wao wenyewe waliokuwa hapo baada ya teuzi. They know better than you and meKwa hiyo Chuo kikuu cha DSM ndio imekuwa jalalani?
NI watu ambao hawana taaluma yoyote ya kujivunia. sasa kama wanasubilia siasa iwaokoe, ni tatizo lao. Mtu unakwenda kusoma conflict resolution, halafu unaishia kuteta wabaya wako kwenye simu. Rubbish!walizaliwa kuwa kwenye siasa? wote wamekuwa kwenye siasa kwa migongo ya baba zao, sasa sioni shida, sema kwa vile hawana kazi yoyote ya taaluma yao.
Yaa ni kweli kama nape anafaa sana kurudishwa kile kitengo polepole alafu polepole apewe u katibu wa chamaWatakuja kuibuka tu at the right time. Ndivyo siasa zilivyo
Huoni watu kama Kabudi na Bashiru Ally Kakurwa wameibuliwa tu ghafla kutokea “jalalani”?
Kwani huyo bwana ataondoka madarakani lini.Hawa wameshazikwa kisiasa huwenda wakang'ara tena baada ya Mh. JPM kutoka madarakani maana wamekuwa kimya mno.