Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

Ni bei. Wao hata wakiuza million 10, wapo watakaonunua ilimrad waonekne kuwa wanatumia vitu vya ghrma.
 
Umofia kwenu,

Hizi iPhone zinazoimbwa na kusujudikiwa kwanzia huku mtaani mpaka mitandaoni zina uspesho gani hasa wa kipekee? Mwezi wa tatu sasa huu natumia iPhone 7 sijaona upekee wowote, sana sana naimisi Samsung yangu ambayo nilikuwa naitumia hapo kabla.

Labda wakuu, uspecial wa iPhone ni nini haswa?

Bado unatumia Iphone kama tecno
 
Back
Top Bottom