Wanataka kiongozi
1)mzalendo alinde rasilimali za taifa sio kuuza urithi na rasilimali zao.
2)raisi wa wanyonge anayejali minority masikini ambao ndio kundi kubwa
3)anayewawajibisha mafisadi na majizi mapiga dili ambayo yanalitafuna taifa hili..kukomesha UFISADI
tiafa hili tumeliwa sana ...na huo ndio ukweli..tumeliwa sana ..ndugu zangu..tumechezewa..
nchi hii ni tajiri...
asiyeingia mikataba ya kuuza nchi
taifa litabigwa bei(ndugai)
masharti ya kijinga mikataba mibovu ni kichaa tu ndiyr atakayetakubali(JPM)
3)Wanyonge wasisumbuliwe vitambulisho vya wafanya biashara 20,000 kwa mwaka na wakawa huru mwaka mzima bila kusumbuliwa..kupungiziwa utitiri wa kodi ili wafanya biashara ndogo ndogo..KODI KODI
4*MAENDELEO*
5)**huduma bora za elimu bure,maji ,umeme na kwa gharama nafuu
6)Uhuru wa kuabudu--kufungulia makanisa,uhuru wa kisiasa..funguklia wafungwa qa kisiasa..tindu lisu n.k futa kesi za kubumba
7)Haki ya kuishi...** zuia utekaji watu wasiojulikana**
8)Uhuru wa kutoa maoni yao na KUSIKILIZWA
9)Uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka..
10)uwajibikaji wa wanaovunja sheria hasa mafisadi na majizi,watekaji na wauwaji,ripoti za CAG zifanyiwe kazi na watu waone wamewajibishwa majizi..kama ambavyo wanyonge qakikosea kidogo wanawajibishwa na haya majizi mafisadi papa nayo yawajibishwe
11)MAISHA BORA kwa kila ntu..nao wanyonge wafaidi keki ya taifa ..mana hawaa urefu wa kamba ..wengine wanakula kwa urefu qa kamba wao kamba yao ni fupi mno nao wale hayo mema