Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
Sasa unalalama nini wakati kumbe hata haki unazozihitaji huzifahamu???? Lakin pia nadhan Moderators wa Jamii forum inabidi kama jukwaa la Dini halipo lianzishwe maana naona kuleta masuala ya Dini kwenye jukwaa la siasa ndio inayopelekea wanasiasa kwenda kuhubiri siasa makanisa na misikitini.Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
Tunahitaji mahakama ya Kadhi itakayoendeshwa kwa kodi za Watanzania woote hata wasio na dini
Kwa nini watu waishi kulingana na matakwa ya imani ya dini nyingine wakati serikali haina dini?Tunataka mwezi wa marazani watu wote wapigwe marufuku kula
utajuaje madai ya dini yetu wakati wewe umesomea seminary? njoo msikiti wa idrisa ijumaa uonane na mimi.Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
Tunataka vyeo serikalini vigawiwe kwa uwiano wa dini na sio vigezo vya uwezo