Ni nini hasa madai yetu waislam?

Status
Not open for further replies.

ngogo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
359
54
Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
 
Tunahitaji mahakama ya Kadhi itakayoendeshwa kwa kodi za Watanzania woote hata wasio na dini
 
Sasa unalalama nini wakati kumbe hata haki unazozihitaji huzifahamu???? Lakin pia nadhan Moderators wa Jamii forum inabidi kama jukwaa la Dini halipo lianzishwe maana naona kuleta masuala ya Dini kwenye jukwaa la siasa ndio inayopelekea wanasiasa kwenda kuhubiri siasa makanisa na misikitini.

Please masuala ya Dini yawe strictly kwenye jukwaa la dini, kuleta dini kwenye siasa ni kuchanganyana wengine hatuna dini!!
 
OIC, kadhi,ajira,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
-Wanataka polisi na wanajeshi wavae hijabu na baibui!
-Wanataka Serikali iwe ya kiislamu na wananchi tufuate sharia.
-Wanataka wananchi wote tuwe waislamu.
-Wanataka tufuge ndevu, tuvae kanzu na balghashia.
-Wanataka nchi ijiunge na OIC ili tupate misaada ya bure!
 
Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane

Hata mm huwa nashindwa kuwaelewa kwani barabara mbovu ni zawatanzania wote, hospitali zisizo na dawa ni zetu wote, maisha kuwa ghali ni yetu sote, shule bila vitabu ni zetu sote n.k sasa kitu gani ambacho waislamu wanakosa lakini wapagani na wakristo wanapata? Acheni mambo binafsi ya didi yaendeshwe na dini husika. TANZANIA NI YETU SOTE
 
Tunataka tuwe na maendeleo kama Wakristo na vyuo vyao vikuu na mahospital waliyojenga tugawane.
 
According to msomi wenu Prof. Lipumba mnataka rasilimali zinazo patikana maeneo yenye Waislamu wengi itumike kwa maendeleo ya maeneo hayo tu na si Tanzania mzima.
 
Wanaharakati kwenye jamii hawakosekani. Kitu kizuri ni kwamba they are just a small percentage.

Hakuna kitu kinachoitwa madai ya waislam ila kuna madai ya vikundi mbalimbali vya wanaharakati wanaijitambulisha kama waislam.
 
Tunahitaji mahakama ya Kadhi itakayoendeshwa kwa kodi za Watanzania woote hata wasio na dini

Kwa nini mnadhani mnastahili haki hiyo? Je, ninyi ni zaidi ya dini nyigine?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Madai ya Waislamu ni
  1. Mahakama ya Kadhi inayoendeshwa na kodi za Watanzania wote
  2. Tanzania ijiunge na OIC
  3. BAKWATA ni tawi la serikali/CCM
  4. Ijumaa iwe siku ya mapumziko
  5. Dr. Joyce Ndalichako (MD wa NECTA) anapendelea seminari za kikiristu
  6. Serikali ivunje MoU na kanisa
  7. Tanzania inaogozwa na mfumo kiristo (Secular), tunataka Tanzania iongozwe kwa kufuata SHARIA
  8. Bible kusambazwa katika mahoteli na guest houses
  9. Ma-bus na mabaa kupiga nyimbo za dini ya kikiristu (gospels) badala ya kaswida
  10. Tanzania kuwa Ubalozi wa VATICAN
  11. Nafasi za uongozi (uwaziri, ukurugenzi, ukatibu mkuu, RCs, Dcs etc) ugawiwe kwa Uwiano wa dini
 
Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado siyaelewi vizuri madai yetu dhidi ya serikali, mara kwa mara nimesoma na kusikia waislam tukilalamika tunanyimwa haki zetu, lakini bila kuyataja ili tuwe tunambana kwa kudai vitu vinavyojulikana, uislam unahimiza kukumbushana bila ya kutukanana, yeyote anayeyajua haki tunazozulumiwa aziorodhesha hapa ili tuungane
utajuaje madai ya dini yetu wakati wewe umesomea seminary? njoo msikiti wa idrisa ijumaa uonane na mimi.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom