Ni nini dalili za uchumi unaokuwa?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,420
13,934
Sielewi Prof. Ndulu na wengine wanaposema uchumi wetu unakuwa. Uchumi wetu unakuwa kivipi ilihali naona watu vijijini bado wako gizani, maji hawana, shule hazina vitabu, na bei ya bidhaa zinapanda? Naomba kama kuna mtu wa uchumi humi ndani atujulishe nini maana ya uchumi wetu kupanda wakati mifukoni kwetu hakuna pesa?

Nini dalili za uchumi kukua kwa mtu wa kawaida kabisa kama mimi?
 
Back
Top Bottom