Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

dah kwel kuna dem moja saiv yupo chuo mwka wa 1 ni best yang sana japo awali nilimtaka kimapenz akachomoa akasema tubak marafk tu kma joke ikawa ndio kwel marafik tu ila saiv nashanga anaanza kuniletea pigo za kimapenz japo saiv mi nishatoa hesia za sex kwak noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli tunapokuwa marafiki kati Me na Ke, hata me siwezi nikaruhusu kitu hicho kitokee
 

Ni bora usimvulie we isogeze pembeni tu atakuelewa.
 
The thing I hate most, #FriendZonethings , mwanamke hachelewi kuja mbaka kukuhadithia alichofanya na 'bwana ake' usiku.
 
Ndiyo maana mimi sina rafiki wa kike ....ni njia rahsi ya kuwagegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…