Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,128
ha ha ha ha mfano nipo sebuleni nimekaa kwenye sofa,utanipa ishara gani ya kuwa wewe unahitaji tunda...?Sasa hapo ndo shughuli huo utundu mpaka niujue inabidi nifundwe [emoji23] vinginevyo nitaibiwa tu.[emoji23][emoji23]
😂 kwahio hakupendi eeh??? Attention seeking pussy a$$ bihhhAwe anakupenda.... Mwenzangu na mie anaendelea na shughuli zake hajali wala nini utajichekesha mwenyewe.... Viumbe Wana dhambi hawa
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguSio tabia nzuri kutamka neno ndoa kwa mtu ambae huna mpango wa kumuoa.....
Bby hebu mueleze bana, mie sio bandidu ila napenda kukuweka katika nafasi yako tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usiniulize
Ni kweli kabisa ndio maana kuna 'win win situation'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee sikujua kama nimepatia ila ili haya ya uvunguni yatoke inabidi uwe umemkoleza kwelikweli ke
ha ha ha ha watu hawapendi upweke,wanapenda kula 'happy'Umejenga kiwanda cha kutengeneza single moms?
Nilichotaka kuandika hapa....ha ha ha ha mfano nipo sebuleni nimekaa kwenye sofa,utanipa ishara gani ya kuwa wewe unahitaji tunda...?
Ngoja arudi nimwelezeBby hebu mueleze bana, mie sio bandidu ila napenda kukuweka katika nafasi yako tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ndogo tu kwa sie wasukuma ntakuita baba naniliu njoo....[emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha ha mfano nipo sebuleni nimekaa kwenye sofa,utanipa ishara gani ya kuwa wewe unahitaji tunda...?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ipo automatically.... Mimi nadhani nimezidi dooooh
Kuzalisha sio kuwa baba.ha ha ha hapa nilipo tayari ni baba,mi huwa napenda watoto sana na wachukue sura yangu
Kujifunza ni muhimu piaNa hivi usukumani hamna mambo hayo[emoji23][emoji23]
Kwani si letu moja au?[emoji134]Ili baadae ije ijulikane letu moja?
Andika ndugu yangu unifundishe maana nahofia kuibiwa [emoji1787]Nilichotaka kuandika hapa....
Hapana [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani si letu moja au?[emoji134]
Shenzeeee😂😂😂 mpaka nini sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mpaka [emoji85]