Hahahaaahaa mi msukuma hayo kwangu ni mashikolo.Wenzako wanawaogesha waume zao
ha ha ha ipo siku utaleta ushuhudaHaya maneno ni marahisi kuyatamka tumeyazoea hata kwenye kparty ila hujakutana nao physically kwenye lovefield
mtotoAmbacho ni nini
ha ha ha utakuwa unaibiwa mume hadi uchanganikiweHahahaaahaa mi msukuma hayo kwangu ni mashikolo.
Hatutawaelewa kwa sababu:
1. Mliumbwa wakati sisi wanaume tupo usingizini. (Adamu alilala halafu akatolewa ubavu uliomtengeneza mwanamke).
2. Ninyi wenyewe hamuelewani. Kwa hiyo sasa sisi ni akina nani hata tuwalewe?
3. Sisi tunatumia logic kuwaza, ila ninyi mnatumia hisia zaidi na mihemko
Itanibidi niende tanga nikachukue mafunzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ha ha ha utakuwa unaibiwa mume hadi uchanganikiwe
Hahaha hii kwa wewe inaonesha kabisa, we mtu hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku naamka nina kisiraniii, ukinisalimia kosa usiponisalimia pia kosa.
Ndio hivyo roho inauma ila mapenzi ni matamu piaHongera
Ndio asili ya mwanamke korofi hio, napenda sana lakini ndio shida utoto sipendagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe na mimi mbona kama tunafanana kwa asilimia 99
[emoji23][emoji23][emoji23] si ndio maana unanipenda baby[emoji85]Ndio asili ya mwanamke korofi hio, napenda sana lakini ndio shida utoto sipendagi
Umeongea kihisia zaidi ila ukweli ni kwamba hata wenyewe hatujielewi ndo logic ilivyo
Uhatari wangu nini?Hahaha hii kwa wewe inaonesha kabisa, we mtu hatari
MsumbufuuUhatari wangu nini?
si lazima uende chuo ni utundu tuItanibidi niende tanga nikachukue mafunzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekusumbua lini?Msumbufuu