Ni ngumu kufurahia mapenzi ikiwa una hofu au visasi vya kuumizwa

Niliwahi kuwa na demu anaitwa hilda aliwahi kuniambia hayupo tiyali kunipa papuchi mpka pale tutakapokuja kuona nikamuuliza why akaniambia wanaume wengi wananichezea na kuniacha nikamwambia sawa nimekuelewa

Ila na Mimi kuanzia leo swala la kukupatia hela ya matumizi na kukuhudumia nasitisha mpka tutakapokuja kuoana you know what happen next

Baada ya siku mbili aliniomba tuachane kama nitashidwa kumuhudumia kama mpenzi wake nikamwambia it's fine baada ya miezi sita alinitafuta tena akiniomba turudiane n she is ready for everything including sex na kunizalia katoto
 
Vidada vinavyosoma MD vinajiona kama dunia hii ni yao peke yao
Huyu anasoma pharmacy ila nilifahamiana nae kitambo tangu form 3 uko. Si unajua pharmacy na MD ni rahisi kuonana haraka, mimi sisomi afya.

Tumekuwa tunafahamiana mpaka mwaka huu nilipokata mawasiliano nae kwa vile hayakuwa na faida kwangu, it was one way traffick
 
Ni wale wale tu mkuu,nlikuwa na wangu,yaan n pretender mzur ila mzigo alikuwa anatoa fresh,ila makundi yake huko chuon naona yamemjaza ujinga at tne end ananambia kuwa amecheat na hana aman moyon better nitafute mwngine,aysee nliumia kiasi cz ilikuwa suprise...bt now nipo oky ila nkimfikiria huwa siwaamin kabxa hawa viumbe
 
Usiwaze komaa naye atamsahau akikuzoea, hizo mbwembwe za short run
Siwezi komaa nae nilimshindwa haraka. Pamoja na uzuri wake ila alikuwa tofauti na mapenzi ninavyoyajua, anakuwa romantic nikimpa hela, ni vigumu sana kumnunua mtu ambaye nimemuweka moyoni. Angekuwa chick ningeishi nae hivo ila sio huyu kipenzi cha roho yangu.

Nilikata mawasiliano nae na kumbukumbu zake zote ila taarifa zake nazijua. Uhakika ni kuwa hanipendi
 
Take time to heal after every relationship. It helps alot.
I agree mkuu. Healing huleta uelewa wa nini unataka na ukaweza kujidefine kwenye mahusiano. Healing hupevua mioyo, fikra, akili za mtu hivyo hupelekea kuwa na mahusiano bora yatakayokuja.
Naamini mtu akikaa muda mrefu katika healing period ataweza kujua what is real and what is fake mapema, hvyo kupelekea kuepuka maumivu ya kisechu. #probablyamjustbabbling#
 
Ni wale wale tu mkuu,nlikuwa na wangu,yaan n pretender mzur ila mzigo alikuwa anatoa fresh,ila makundi yake huko chuon naona yamemjaza ujinga at tne end ananambia kuwa amecheat na hana aman moyon better nitafute mwngine,aysee nliumia kiasi cz ilikuwa suprise...bt now nipo oky ila nkimfikiria huwa siwaamin kabxa hawa viumbe
Yani huwa nikiona mwanaume anaandika X badala ya S kwenye sentensi nachefukwa sana
 
Ndugu zangu!

Tujilazimishe tu kusamehe na kuachilia. Sio kitu rahisi, lakini faida zake ni kwa maslahi ya kesho yako. Kwenye mapenzi unakutana na mtu ambaye humjui, unajifariji eti utamfahamu kupitia

Ncha Kali.
....waliokuumiza ni wengine...! Je kama aliyekuumiza ndiye huyo!

Kweli binadamu tumetofautiana pakubwa.

Mwingine anafurahia mapenzi toka kwa aliyemuumiza kabla hajasemehe, tena kwa kuenjoy mara dufu!

Haujasikia mtu kashika ugoni kisha kitu kikasoma na akaharibu mbele ya vimuli muli vya makamera ya video?
 
Kama aliyemuumiza ni huyo huyo, ili ufurahie lazima awe amemsamehe na kuachilia… kama bado ana kinyongo hawezi kufurahia kamwe.

Atakuwa yupo tu kwa kuwa hawezi kuondoka, hana namna kutegemea na sababu kadha wa kadha…. ila deep down sio kweli kwamba anaenjoi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom