Ni ngumu hivi kujiunga Jf au...

Nimekua nikitumia jf mwaka wa pili sasa lakini kila nikipokua nikijaribu kujiunga nkikua nakataliwa eti naambiwa oops! we have got in to some problems please try again later..sasa leo nikasema sikubali nikaangaika weeee kujiregister bado nikafeli mbaka nilipopata wazo la kuingia google ndo nikafanikiwa kuregister kupitia uko.
sasa naomba mniambie japo nshajiunga jf ila nataman kujua nilichokua nakosea nnn maana daah sio kwa kutumia jf miaka 2 nikiwa member hewa..mada zingine zinakua hot ila kuchangia sikuweza.
Pole sana, mafundi wetu wanalishugulikia hili.

wananiita maxence mello a.k.a kipepe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom