jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
mimi namalizia bali ni wapenzi wawili... mnaopendana. mimi laiti ningelikuwa huko nyumbani ningeomba siku moja niwakutanishe wawili nione jinsi mnavyozungumza uso kwa uso hakuna kugomban bali mazungumzo tu mazuri.
Na cha ziada katika agenda mliyonayo mezani, mimi sijaelewa yawaje kila unapoangalia "user name" ya membar plus na miondoko ya uchangiaji, utiririshaji wake wa maudhui utakuta kichwa kinaanza kukupa imaginable image ya mtu.
Mf. Yaweza kujia image ya :
- Huyu Mnene, Mwembamba, Mpole, Mkali, Mweusi, Mweupe, Chotara, Mkorofi, Mkarimu n.k sijajua kama hii kitu na kwa membar wenzangu inawatokea au ni mie tu.
mi pia niliwahi kupata hisia hizoNa cha ziada katika agenda mliyonayo mezani, mimi sijaelewa yawaje kila unapoangalia "user name" ya membar plus na miondoko ya uchangiaji, utiririshaji wake wa maudhui utakuta kichwa kinaanza kukupa imaginable image ya mtu.
Mf. Yaweza kujia image ya :
- Huyu Mnene, Mwembamba, Mpole, Mkali, Mweusi, Mweupe, Chotara, Mkorofi, Mkarimu n.k sijajua kama hii kitu na kwa membar wenzangu inawatokea au ni mie tu.
Mi nahisi invisible ndugu yangu.
Yes, ni baba mkwe wako mstaafu
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Afrodenzi=Lizzy? Wote mmeandika kitu kinachofanana...
Ni mapacha wa kufanana. . . .
Ni mapacha wa kufanana. . . .
Mi kuna rafiki yangu sana tuko nae muda mwingi na kila nikiingia ofcn kwake namkuta JF ila nimejitahidi kumvizia nijue anatumia jina gani ila sijafanikiwa hadi sasa..yan akiniona anapotea ghafla kwenye window ya JF....Ila bado nakomaa hadi nijua anatumia jina ganihi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana.
kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya kuhis nani ndugu yako rafiki, au mume/mke kwa kupitia comments au thread anazozitoa hata kama hujamfaham vizur.