Siku hizi mtu akisema ukweli wa kile anachoamini anaonekana adui.
Taifa limekuwa la hovyo machawa kila kona hata kama mambo hayako sawa wao ni kusifu sifu upumbavu .
Muhimu ujumbe umefika , Horace Kolimba (R.I.P) alisema hadharani CCM imepoteza Dira na ndiyo ukweli wenyewe.