Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

We kwl ni kibwengo, jinga linaloishi ktk nchi isiyopo. Ur a stateless person
 
Huyu atakuwa amekimbilia Marekani. Lakini Pole Pole alikuwa ni mwanaharakati tangu enzi zile za bunge la katiba. Ni Jiwe tu ndio alimvuta akakaa kinafiki kwa kuogopa matatizo zaidi.
 
Kuna wanaojaribu kupooza fukuto kwa kusema ile barua ya kujiuzulu ni bandia, huku wengine wakidai hajaandika yeye bali imeandikwa na "wanaharakati" kina huyu Lucas yeye kaenda mbali zaidi kwa kusema eti ataijibu barua ya Polepole.. Sasa sijui kwa mamlaka yapi na kwa vigezo gani.. Kwakuwa ile sio barua ya posa kwamba inahitaji majibu.

Huyu Lucas ni nani?
Maana Aliingia kwa mbwembwe na mikogo mingi mpaka namba yake alikuwa anaiandika kwa kujiachia kabisa. Kama kuna watu wanamjua vizuri huyu Lucas tunaomba mtusogezee faili lake.
 
Yani barua aloandika Humphrey leo imewavuruga sana ccm (wale wanaonufaika na mfumo), yani wamechanganyikiwa, muda huu vikao vinaendelea somewhere na from kesho wataanza kufanya kila liwezekanalo kuchafua image ya Polepole kwa nchi na wanaccm ili waonekane wao wako sawa but humphrey ni mpumbavu.

But trust me guys, Humprey na waliokubaliana wanajua wanachofanya na hili walishalisubiri na watadeal nalo cas everything is very well planed and calculated. Samia asipochange the mood atakipata very soon. NIMEMEMUONYA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ