Le Grand Alexei
Senior Member
- Nov 9, 2011
- 116
- 83
Mara ya mwisho kuna mtu alibandika hapa majina ya wanasiasa kumi interactive zaidi kwenye social media lakini orodha yake ilikumbana na mapingamizi mengi sana kwa kuwa kuna wengine 'interactive' sana na hawakuwa wamewekwa badala yake waliwekwa watu maarufu tu. Ile ilinipelekea kufanya utafiti nikilenga kutoa orodha mpya na makini zaidi ya wanasiasa interactive kwenye social media Tanzania kwa mwaka 2012, bahati mbaya sana nimechelewa kukamilisha ripoti yangu. Leo nitaiweka wazi hapa chini.
Njia zilizotumika kuwapata wanasiasa hawa ni pamoja na kuangalia ushiriki wao wa wazi na wa moja kwa moja kwenye mijadala mbali mbali kwenye mitandao hiyo. Nilitengeneza excel sheet na kutally idadi kila mmoja alivyojitokeza moja kwa moja
1. kuanzisha mada
2. kuchangia
3. kujibu shutuma zake ama kutoa maelezo ya jambo lolote
4. kuchangia kwenye mijadala mbali mabli mizito ya kitaifa.
Media ama majukwaa niliyoyatafiti na ambayo ni maarufu ni pamoja na yafuatayo: Jamii forums, facebook, twitter, you tube, Bidii Forums, Mabadiliko Forums, Global publishers, Michuzi Blog na Tanuru la Fikra kule facebook. Pia niliandaa table nyingine nikatazama namna alivyorahisi kupatikana kwenye mtandao kwa njia ya kum-search - hapa nikilenga kupata number of hits per click; anapatikana kwenye mitandao ipi? je ana tovuti yake? je ana blogu yake? na hizi tovuti zake ziko active kiasi gani? ana update mara nyingi kiasi gani?
Matokeo ni kama ifuatavyo:
1. Dk. Hamisi Kigwangalla
2. January Makamba
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. John John Mnyika
5. Nape Moses Nnauye
6. Dk. Wilbrod Slaa
7. Dk. Jakaya Kikwete
8. Shyrose Bhanji
9. Mohamed Dewji
10.Ridhiwani Kikwete
10. Halima J. Mdee
Tumetunza kumbukumbu hizi na tutakuwa tukitoa kila baada ya miezi mitatu na kila mwisho wa mwaka.
Ahsanteni,
Timu ya takwimu za mitandaoni.