Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,262
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu kamili.
Binadamu wanaenda kwenye mwezi, vifaa mbalimbali vinafika kwenye sayari mbalimbali....Sasa ni nani mmiliki wa ardhi hizo za sayari? Nani msimamizi mkuu wa kudhibiti au kutoa miongozo kwenye hizo anga za juu?
Ikitokea trilionea mmoja akaamua kwenda kuhifadhi vitu vyake mwezini au Mars ni sharti aonane na nani? Au ni free?