Ni nani mmiliki wa anga za juu?

Hakuna mmiliki ukitaka nenda katalii tu mkuu utuletee mrejesho
 
Kuna chombo kinaitwa "ISS" kinaelea umbali wa kilometa 400 angani, Sitaki kuamini kuwa hujawahi kusikia au kuona!. Nashangaa ni vipi unaamini kuwa Elia aliyeishi enzi za Yesu kuwa alipaa bila wewe kuuona ushahidi usiamini kuwa kuna kazi ya binadamu inaelea angani sasa hivi na kuna watu wanaendelea na utafiti humo!.

Hebu angalia hapa>View attachment 1193460
samahani mkuu hivi aliyepiga picha hivyi vyombo angani yeye alikuwa wapi??
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...
Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
sio kweli
 
Huu ujumbe unaweza ukapuuzwa ila ndio ukweli wenyewe, hakuna aliyefika huko sayari ya Marz kama wanavyodai.
KWELI ndugu huko mbali watu wameenda mwezini kabla haujazaliwa na wameezeeka leo hii na wengine wamekufa kwa uzee km Neil Armstrong wa America na Yuri wa Russia. Wewe wa karne ya kidigital unabisha endelea kubisha wakt wenzako wanafanya KWELI. Siku ukisikia chombo cha safari za juu kikirushwa kuwa makini MF kwenda Mars, utasikia wakisema itaenda kwa miezi kadhaa na kutua labda kusini mwa Mars karibu na milima fulani huko. Mfano NASA wanajua mengi sana ya huko angani. Jifunze
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Kwahiyo NASA wanatuhadaa mkuu?
 
ki ufupi wewe mlokole hata hiyo simu unayo tumia utasema kuwa ni edit katika matuzi.
hizo seteleti na vyombo vya anga vimefikaje.
we kaa kusubiri ndege yako itakuja kwa maombi bila kulipa deni
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Acha uongo. .hata hizo habari za yesu ni porojo. .tena porojo haswaaa
 
Nimeshangaa saa mtu anatumia simi au laptop inayotumia internet lakin haamini uwepo wa satellite haamin huko anga za mbali kuna madude yametupwa huko yanafanya kazi..

Kakalisha mku..ndu sebleni anaangalia bbc hajiulizi hata hizo channel anazipata vipi..

Huyo jamaa hata darasa la saba sijui kama kafika
 
Wewe mmiliki wa anga za juu ni mkuu wa uajemi ambae ni mkuu wa anga.
 
We jamaa bana mpaka nakushangaa sana
Ruanzie hapa kidogo..
Kwako una tv na unatumia king'amuzi?

Hicho king'amuzi kinapata wapi izo information(signal)?

Jiulize maswali haya madogo tuu?

Juu kuna kila aina ya satellite, na shughuli mbali mbali zinaendelea hasa katika utabili wa hali ya hewa katika dunia nzima!

Kama hujaelewa hapa ruksa kuuliza nikutoe tongotongo mkuu
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
 
Kuna chombo kinaitwa "ISS" kinaelea umbali wa kilometa 400 angani, Sitaki kuamini kuwa hujawahi kusikia au kuona!. Nashangaa ni vipi unaamini kuwa Elia aliyeishi enzi za Yesu kuwa alipaa bila wewe kuuona ushahidi usiamini kuwa kuna kazi ya binadamu inaelea angani sasa hivi na kuna watu wanaendelea na utafiti humo!.

Hebu angalia hapa>View attachment 1193460
inakuaje kikiisha mafuta?
 
We jamaa unashangaza sana..
Yaani unaacha kuamini kitu ambacho kila siku tunaona rockets zikipaa kwenda anga za mbali live pale youtube halafu unaamini mambo ya Elia yaliyoandikwa kwenye kitabu ambacho huna uhakika wala picha ya elia huna.

Mzee ukapimwe akili sio bure..

Kama tunadanganywa bora uongo wa kwenda anga za mbali maana unaconvice kabisa na picha tunaona youtube
Zile sarakasi zinafanyika jangwa la Nevada mkuu, hizi pia ni silaha za kutisha publicity ili high echelon, cycle iwe admired , usidanganyike, ushahidi nianao ukiutaka,

Habari ya Uongo ni silaha! aina mbili kama hivi;

1.kuna uongo mkubwa na ""

2.Uongo mdogo.

Uongo mkubwa ni silaha kubwa vilevile. ina madhara makubwa kwa watu wakubwa! kwenye nyanja za ushindani, wanatishana. ili kundi pinzani lisilo jua, lipunguze upinzani, na wasiwe na fikra za ubunifu zaidi, wajidhanie wao ni duni wakati wenzao wamesha enda mwezini,Mars nk, hivo kuwafanya hawa walio pigwa changa la macho kufa moyo sababu hawawezi jaribu wasichokiweza wala kudhania.

uongo mdogo pia, ni silaha ndogo.kwa wadogo inaweza puuzwa tu.
 
Kuna chombo kinaitwa "ISS" kinaelea umbali wa kilometa 400 angani, Sitaki kuamini kuwa hujawahi kusikia au kuona!. Nashangaa ni vipi unaamini kuwa Elia aliyeishi enzi za Yesu kuwa alipaa bila wewe kuuona ushahidi usiamini kuwa kuna kazi ya binadamu inaelea angani sasa hivi na kuna watu wanaendelea na utafiti humo!.

Hebu angalia hapa>View attachment 1193460
Naomba nigonge like hapa
 
Nmekupa like, lakini shule muhimu.
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Wewe ndio umekwama kabisa...
 
Back
Top Bottom