rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,868
- 9,655
Vipi kama kinatumia nuclear!?inakuaje kikiisha mafuta?

Kituo cha kimataifa cha utafiti wa anga za juu kinaelea angani nje ya mvutano wa Dunia, Kituo hakitumii mafuta ya aina yoyote kukifanya kiendelee kusafiri.. nguvu ya msukumo iliyotumika wakati wa kuruka kutoka Duniani kupitia Roketi, ndiyo hiyo hiyo inayoendelea kutumika kusafiri bila kuwa na pingamizi. Chombo hicho kina aina ya pampu chache zinazolekebisha mwelekeo wa chombo kupata mwanga wa jua.inakuaje kikiisha mafuta?
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu kamili.
Binadamu wanaenda kwenye mwezi, vifaa mbalimbali vinafika kwenye sayari mbalimbali....Sasa ni nani mmiliki wa ardhi hizo za sayari? Nani msimamizi mkuu wa kudhibiti au kutoa miongozo kwenye hizo anga za juu?
Ikitokea trilionea mmoja akaamua kwenda kuhifadhi vitu vyake mwezini au Mars ni sharti aonane na nani? Au ni free?
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...
Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.

inakuaje kikiisha mafuta?
acha kua na mawazo finyuNgoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...
Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
NASANimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu kamili.