Ni nani mmiliki wa anga za juu?

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,504
2,261
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu kamili.

Binadamu wanaenda kwenye mwezi, vifaa mbalimbali vinafika kwenye sayari mbalimbali....Sasa ni nani mmiliki wa ardhi hizo za sayari? Nani msimamizi mkuu wa kudhibiti au kutoa miongozo kwenye hizo anga za juu?

Ikitokea trilionea mmoja akaamua kwenda kuhifadhi vitu vyake mwezini au Mars ni sharti aonane na nani? Au ni free?
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
 
Inawezekana.Imagine hata NASA ukipitia baadhi ya documentary ile safari ya kwenda kwenye mwezi ni Cinema.
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Una ushahidi.
 
Swali zuri sana hili. Kwa hakika hakuna taifa lenye umiliki kwenye anga za juu,eneo hilo ni mali ya ulimwengu mzima na vyote vilivyoko huko vimeweza kufahamika kwetu kupitia wadadisi wachache kwenye karne ya 18. Udadisi uliopelekea kufahamu angalau kwa uchache kilichoko anga za juu, ulianzia kwenye elimu ya nyota iliyohusisha nyota za angani na matukio yanayotokea Duniani. Ugunduzi wa kionambali ndio uliokoleza kasi ya kuzipeleleza anga za juu pamoja na Sayari zilizoko karibu na Dunia.

Hadi kufikia siku ya leo, ni mataifa machache sana yameweza angalau kuushinda mvutano wa Dunia na kuweza kuelea katika anga za juu kati ya Dunia na Mwezi. Anga za mbali zaidi zimewahi kufikiwa na vyombo vya utafiti ambavyo baadhi vinaendelea na safari ya anga za mbali zaidi huku vikituma picha huku Duniani.
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Kuna chombo kinaitwa "ISS" kinaelea umbali wa kilometa 400 angani, Sitaki kuamini kuwa hujawahi kusikia au kuona!. Nashangaa ni vipi unaamini kuwa Elia aliyeishi enzi za Yesu kuwa alipaa bila wewe kuuona ushahidi usiamini kuwa kuna kazi ya binadamu inaelea angani sasa hivi na kuna watu wanaendelea na utafiti humo!.

Hebu angalia hapa>
Screenshot_2019-08-30 international space station - Tafuta na Google.png
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Nje ipi hii unaongelea mkuu
 
Iko hivi nchi huwa inamiliki anga ambalo huwa juu yake KM kadhaa lakini unapoenda kuongelea anga la juu zaidi International space hakuna mmiliki wake ndo maana mataifa yenye uwezo wanatuma vifaa vyao angani kila siku. Na hii ipo sawa kama baharini kuna KM kadhaa ndio inakuwa inamilikiwa na nchi alafu kuna umbali ukifika ni International Water (free zone) unaweza tumia kama unvyoweza kila kubuguziwa na nchi yoyote.
 
Angaa za juu international space hazinaa mmiliki maalum..lakini kunaa treaties na makubaliano mbalimbali ya namnaa ya kudeal na hzo angaa za juu...hizo treaties ndo zinatumikaa.na zinaheshimika
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
We jamaa unashangaza sana..
Yaani unaacha kuamini kitu ambacho kila siku tunaona rockets zikipaa kwenda anga za mbali live pale youtube halafu unaamini mambo ya Elia yaliyoandikwa kwenye kitabu ambacho huna uhakika wala picha ya elia huna.

Mzee ukapimwe akili sio bure..

Kama tunadanganywa bora uongo wa kwenda anga za mbali maana unaconvice kabisa na picha tunaona youtube
 
Ngoja nkuambie ndugu..
Hakuna ambae ameshatoka nje ya hii dunia labda Yesu na Elia waliopaa...bt kwa mwanadam wa kawaida hakunA...

Zile n porojo zao tuuu na zile picha ni editing za kwenye studio...kama yale ma movies ambayo wanayachezA...cuz hakuna kifaaa kinachoweza kumtoa mwanadamu nje ya hili anga letu.
Huu ujumbe unaweza ukapuuzwa ila ndio ukweli wenyewe, hakuna aliyefika huko sayari ya Marz kama wanavyodai.
 
Back
Top Bottom