Huyu Saad Ally alishajitoa,mwenye Mwanamboka Hauliers anaitwa Salum mwenye kufanana na Madiluu sytem.
ya kweli haya
Huyu Saad Ally alishajitoa,mwenye Mwanamboka Hauliers anaitwa Salum mwenye kufanana na Madiluu sytem.
Dah, hilo neno kusema ukweli sijui lina maana gani.Kwenye wimbo wa muchana kuna neno mwanamboka linasikika,
Ni nni hasa chanzo Cha kuitwa mwanamboka kinondoni? Kwako secretarybird
Hujanitumia muchana mpaka sasa daah unanikatili kinomaDah, hilo neno kusema ukweli sijui lina maana gani.
Namfahu Hadija Mwanamboka malkia wa mitindo tanzzzzzaniaaaa!
Kumbe sijakutunia! 😂.Hujanitumia muchana mpaka sasa daah unanikatili kinoma
Kama ipo tyr ntumie sasaKumbe sijakutunia! 😂.
Basi baadaye nitakutumia.
Okay 👍Kama ipo tyr ntumie sasa
Nasoro alikuwaga rafiki yangu sana..sema madawa yalikuja muaribu sanaMmiliki wa mwanamboka ni Salum Saad Said Ally. huyu Saad said Ally ni mtoto wa huyu Salum Saad.Khadija mwanamboka na Nassoro ni watoto wa kaka yake Salum Saad Ally Ambae anaitwa Said Saad Ally.