Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Wapendwa ma great thinker naomba mnielimishe maswali yafuatayo: 1. Je chuo Kikuu cha IFM au MZUMBE hakiwezi kutoa viongozi wa juu ktk nchi hii mpaka awe ametoka UDSM. 2. Hao mliowasifia na ma CV makubwa na wametoka UDSM mkawageuka! 3. Je utendaji na uadilifu unatokana na chuo kikuu mtu alichosoma?. 4. Kama ni hivyo hao walioonekana kukosa uadilifu au uwajibikaji ni product ya chuo gani?. Mwisho wale mnaokumbuka hadithi ya Daudi kutoka uchungaji kondoo, kumuua goliath hadi ufalme. Nani ajuae huyo Bwana aweza kuwa performer mzuri. Si wakati wa kumkatisha tamaa na kumhukumu ila ni kusimama pamoja, kumsaidia inapobidi kama tuna mapenzi mema ya kweli na nchi yetu. KWA MSAADA WA MUNGU TUTATENDA MAKUU.huyu jamaa hamna kitu, tunaletewa msomi wa IFM diploma alafu tunaambiwa doctor...uchaguzi huu umezingatia nini lakini? sijui, labda tuone delivery yake itakavyokuwa.
mkuu,
cv inasema hivi (usisome alipoandika to date, as if ana uhakika wa kufika huko)
sasa udaktari kaupata lini na kwa nini hauweki kwenye cv??
[table="class: Cms_table, width: 100%"]
[tr]
[th="bgcolor: Initial, align: Center"]company name[/th]
[th="bgcolor: Initial, align: Center"]position[/th]
[th="bgcolor: Initial, align: Center"]from date[/th]
[th="bgcolor: Initial, align: Center"]to date[/th]
[/tr]
[tr]
[td]the parliament of tanzania[/td]
[td]member - kalenga constituency[/td]
[td="align: Center"]2010[/td]
[td="align: Center"]2015[/td]
[/tr]
[/table]
Ndugu MKWECHE ,
Sisi tunajadili CV yake ambayo kaiandika mwenyewe na kuiweka kwenye public domain. Wewe unajadili nini?
Halafu unapojaribu kutushuka kitalaama na ki-uzoefu, unatumia kigezo gani? Au unataka tukuwekee CV zetu ndiyo ukubali kwamba tuna haki ya kujadili CV ya mwalimu wako?
naona na cv yake kasoma seminari kwa hiyo anaweza kuwa na hofu ya Mungu pia..Tumuombee tu apate ushirikiano asije akaachwa kama pinda!I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
Kwanza kabisaa kama ulivyo andika hapo kenye maandishi mekundu...naomba kukwambia IFM sio chuo kikuu...ni taasisi ya elimu ya juu, chuo kikuu kina sifa zake ambazo IFM haina...alafu hapa watu wanacho hoji ni udaktari wake unatokana na nini maana kwenye cv hujaoneshwa..pili uchapakazi wa mtu haufati chuo..tunajua kabisaa UDSM na TUMAINI ndio vyuo vinavyo toa wanasheria wazuri...na watu wa fedha(wahasibu, taxexperts, Finance mangers) wazuri wanatoka IAA, MZUMBE, NA IFM...nachotaka kusema hapa utendaji wa mtu hauangalii chuo alichosoma ila yeye mwenyewe!Wapendwa ma great thinker naomba mnielimishe maswali yafuatayo: 1. Je chuo Kikuu cha IFM au MZUMBE hakiwezi kutoa viongozi wa juu ktk nchi hii mpaka awe ametoka UDSM. 2. Hao mliowasifia na ma CV makubwa na wametoka UDSM mkawageuka! 3. Je utendaji na uadilifu unatokana na chuo kikuu mtu alichosoma?. 4. Kama ni hivyo hao walioonekana kukosa uadilifu au uwajibikaji ni product ya chuo gani?. Mwisho wale mnaokumbuka hadithi ya Daudi kutoka uchungaji kondoo, kumuua goliath hadi ufalme. Nani ajuae huyo Bwana aweza kuwa performer mzuri. Si wakati wa kumkatisha tamaa na kumhukumu ila ni kusimama pamoja, kumsaidia inapobidi kama tuna mapenzi mema ya kweli na nchi yetu. KWA MSAADA WA MUNGU TUTATENDA MAKUU.
Kazaliwa,Kalelewa na Kakulia benki, balance sheet anaielewa.Iwapo Key Performance Indicators zake zipo kiwango cha juu basi atatufikisha Kaanani.
yaani JF imekuwa ya kudiscuss mtu binafsi badala ya kudiscuss nini matarajio yetu kutoka kwake na hata yeye kama ni member wa JF anaweza kupata maoni yetu.
ila cha kushangaza badala ya kudiscuss mustakabali wa nchi tunashindana tunavyomjua ambacho hakina mchango wowote kwa taifa.
awe dr au prof haina maana kama hata kidhi matakwa yetu kwani wapo wengi akina prof. Kapuya ambao licha ya kisomo chao kusaidia nchi waliishia kuanzisha bendi za muziki.
nadahani tufike mahala tuchange ili JF irudi katika hadhi yake wakati wa jambo forums.
Njaa ina matatizo makubwa sana hivi mimi nashindwa kuelewa ni kitu gani hasa mpaka Kikwete achukiwe hivi? Mmetaka avunje Baraza La Mawaziri kavunja ametulia na kulipanga upya kila mtu analaumu tu hivi nyie watu wa Chadema mnao watu wanaofaa kuwa Mawaziri? Sugu ama Vincent Nyerere ama Mchungaji Msigwa ama aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini wanafaa kwa Wizara gani? Mbona hao ndo CV zao hazieleweki kabisa? Tuache mambo ya ushabiki ambao hauna msingi Mawaziri wameteuliwa tuwaache wafanye kazi karibu Mawaziri wote waliokuwa wanalalamikiwa wametoswa na wengine waliobaki wamebadirishiwa Wizara Raisi kwa kiwango kikubwa amejitahidi ila nyie watu wa Chadema sifa yenu kubwa ni kulaumu tu hata kama kilichofanyika kiko sahihi!
Naomba ufute kauli yako, TUMAINI kinatoa wanasheria vilaza..vilevile majority ya watu wanaoenda kusoma IFM, IAA na MZUMBE wanakuwa hawakupata credit nzuri Form VI za kuwawezesha kuingia UD kusoma BCOM, BA Economics nk. Tunao makazini, wengi wao ni mzigo tu hata huku maofisini.Kwanza kabisaa kama ulivyo andika hapo kenye maandishi mekundu...naomba kukwambia IFM sio chuo kikuu...ni taasisi ya elimu ya juu, chuo kikuu kina sifa zake ambazo IFM haina...alafu hapa watu wanacho hoji ni udaktari wake unatokana na nini maana kwenye cv hujaoneshwa..pili uchapakazi wa mtu haufati chuo..tunajua kabisaa UDSM na TUMAINI ndio vyuo vinavyo toa wanasheria wazuri...na watu wa fedha(wahasibu, taxexperts, Finance mangers) wazuri wanatoka IAA, MZUMBE, NA IFM...nachotaka kusema hapa utendaji wa mtu hauangalii chuo alichosoma ila yeye mwenyewe!
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
. Heshima yako greater thinker kwa ufafanuzi wako mzuri na wenye tija. Siku iwe njema kwako.Kwanza kabisaa kama ulivyo andika hapo kenye maandishi mekundu...naomba kukwambia IFM sio chuo kikuu...ni taasisi ya elimu ya juu, chuo kikuu kina sifa zake ambazo IFM haina...alafu hapa watu wanacho hoji ni udaktari wake unatokana na nini maana kwenye cv hujaoneshwa..pili uchapakazi wa mtu haufati chuo..tunajua kabisaa UDSM na TUMAINI ndio vyuo vinavyo toa wanasheria wazuri...na watu wa fedha(wahasibu, taxexperts, Finance mangers) wazuri wanatoka IAA, MZUMBE, NA IFM...nachotaka kusema hapa utendaji wa mtu hauangalii chuo alichosoma ila yeye mwenyewe!
. Mkuu reformer hivi elimu ya CAG imekaa vipi? Amepitia chuo gani baada ya kumaliza kidato cha VI? Je hana uhusiano wowote na Mzumbe? Umeuonaje utendaji kazi wake? Je hakuna vilaza maofisini wanaotoka UDSM? Ni kweli waliopo ni wa Mzumbe na IFM tu?Naomba ufute kauli yako, TUMAINI kinatoa wanasheria vilaza..vilevile majority ya watu wanaoenda kusoma IFM, IAA na MZUMBE wanakuwa hawakupata credit nzuri Form VI za kuwawezesha kuingia UD kusoma BCOM, BA Economics nk. Tunao makazini, wengi wao ni mzigo tu hata huku maofisini.
. Mkuu reformer hivi elimu ya CAG imekaa vipi? Amepitia chuo gani baada ya kumaliza kidato cha VI? Je hana uhusiano wowote na Mzumbe? Umeuonaje utendaji kazi wake? Je hakuna vilaza maofisini wanaotoka UDSM? Ni kweli waliopo ni wa Mzumbe na IFM tu?Naomba ufute kauli yako, TUMAINI kinatoa wanasheria vilaza..vilevile majority ya watu wanaoenda kusoma IFM, IAA na MZUMBE wanakuwa hawakupata credit nzuri Form VI za kuwawezesha kuingia UD kusoma BCOM, BA Economics nk. Tunao makazini, wengi wao ni mzigo tu hata huku maofisini.
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw
Naomba ufute kauli yako, TUMAINI kinatoa wanasheria vilaza..vilevile majority ya watu wanaoenda kusoma IFM, IAA na MZUMBE wanakuwa hawakupata credit nzuri Form VI za kuwawezesha kuingia UD kusoma BCOM, BA Economics nk. Tunao makazini, wengi wao ni mzigo tu hata huku maofisini.
NB: siku zote jua kufanya vizuri form six sio kufanya vizuri chuoni, na kwa taarifa yako wanfunzi wengi wazuri huwa hawafanyi vizuri formsix kwa sababu system iliyopo haiwafevi!Haya uliyoyaandika umetumia data zipi ...Kwa taarifa yako watu wengi waliamini Ud ndio kilikuwa chuo bora kwa upande wa sheria...lakini hata kukiweka kati ya vyuo vinavyotoa wanasheria bora tanzania nimekipendelea...fuatilia matokeo ya chuo cha sheria (shool of law) uone jinsi gani ni wanafunzi wa chuo kipi wanafaulu...turudi kwa IFM IAA na MZUMBE...mimi mwenyewe nimekuwa kwenye majopo ya interview, nime supervise wanafunzi wengi tu wa field na nimefanya kazi katika uwanda waUhasibu na usimamizi wa fedha..hakuna product mbovu kama zinazotolewa na UD na UDOM pamoja na wengi wao kuwa na GPA za maana...na hakuna wanafunzi wazuri kama wa IAA na Mzumbe pamoja na IFM, ingawa IFM nao sio wazuri kiivyo..naomba ujue UD sasa hivi kinasimamiwa na jina tu fanya utafiti na sio ushabiki...nway nilikuwa nakueleza tu lakini jua kuwa mjadala ulikuwa wa waziri mpya wa fedha sio vyuo vikuuu!
Read between lines usikurupuke tu..I said majority of them I did not say all of them. Mkuu reformer hivi elimu ya CAG imekaa vipi? Amepitia chuo gani baada ya kumaliza kidato cha VI? Je hana uhusiano wowote na Mzumbe? Umeuonaje utendaji kazi wake? Je hakuna vilaza maofisini wanaotoka UDSM? Ni kweli waliopo ni wa Mzumbe na IFM tu?