Eliza wa Tegeta
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 251
- 108
Kuna baadhi ya vichwa nimevishangaa kama huyu waziri wa fesha na yule wa maliasili na utalii, kumbe kuna wengi ambao wanavuta hisia za matumaini, kwa nini alikuwa anawang'ang'ania akina megawati na mkulo?
ana ubinamu na wasira?
Mgimwa ni kiazi!
Watch this space mwaka mmoja baadae!!
I tell you me.
Mgimwa ni kiazi!
Watch this space mwaka mmoja baadae!!
I tell you me.
Really Eliza? Kumbe wanateuliwa kwa kujuana ati!
Dah shule ya msingi amechelewa sana kuanza alikuwa wapi?Nimekutana na CV ya mkuu wetu wa Hazina hapa. Il sijaona kitu chochote kinachomfanya aitwe Dr!!
Parliament of Tanzania
MEMBER OF PARLIAMENT CV
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]William[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustao[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mgimwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kalenga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 80373, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 765644/+255 684 765644[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]wmgimwa@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]20 January 1950[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATIONS[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Wasa Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1965[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tosa Seminary Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1966[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tosamaganga Seminary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mafinga Seminary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Institute of Finance Management, IFM[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Diploma (Banking)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Institute of Finance Management, IFM[/TD]
[TD="align: center"]Postgraduate (Finance)[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Institute of Development Management, IDM, Mzumbe[/TD]
[TD="align: center"]MBA (Finance)[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: initial"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From Date[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Kalenga Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania Training Institute (Mwanza)[/TD]
[TD]Principal[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The National Bank of Commerce (NBC) - Bank[/TD]
[TD]Director[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The National Bank of Commerce (NBC) - Bank[/TD]
[TD]Manager[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The National Bank of Commerce (NBC) - College[/TD]
[TD]Lecturer[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The National Bank of Commerce (NBC) - Bank[/TD]
[TD]Accountant[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: initial"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Ward Guardian (Wasa, Iringa)[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Assistant Commander (UVCCM)[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Councillor (Gangilonga Ward)[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 2, align: left"]PUBLICATIONS[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, bgcolor: initial"]Description[/TH]
[TH="class: text_menu, bgcolor: initial"]Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD]2009[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wewe Mwanamasala ndio Big Joke... Tatizo mkishapata vidigrii vyenu mnajifanya mnajua kila kitu. Hebu angalia publications alizofanya hapo then niambie kama hazitoshi kumpatia PhD kama alikuwa anatafuta!? PhD is all about publications we ****, sio kutudharau watanzania kuwa vile tu kuna wapuuzi wachacheTanazania a big joke!!! Mnamwita huyu DR
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?
Dah shule ya msingi amechelewa sana kuanza alikuwa wapi?
Wewe Mwanamasala ndio Big Joke... Tatizo mkishapata vidigrii vyenu mnajifanya mnajua kila kitu. Hebu angalia publications alizofanya hapo then niambie kama hazitoshi kumpatia PhD kama alikuwa anatafuta!? PhD is all about publications we ****, sio kutudharau watanzania kuwa vile tu kuna wapuuzi wachache
Mimi nimekaa mkao wa kula tu.I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
Njaa ina matatizo makubwa sana hivi mimi nashindwa kuelewa ni kitu gani hasa mpaka Kikwete achukiwe hivi? Mmetaka avunje Baraza La Mawaziri kavunja ametulia na kulipanga upya kila mtu analaumu tu hivi nyie watu wa Chadema mnao watu wanaofaa kuwa Mawaziri? Sugu ama Vincent Nyerere ama Mchungaji Msigwa ama aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini wanafaa kwa Wizara gani? Mbona hao ndo CV zao hazieleweki kabisa? Tuache mambo ya ushabiki ambao hauna msingi Mawaziri wameteuliwa tuwaache wafanye kazi karibu Mawaziri wote waliokuwa wanalalamikiwa wametoswa na wengine waliobaki wamebadirishiwa Wizara Raisi kwa kiwango kikubwa amejitahidi ila nyie watu wa Chadema sifa yenu kubwa ni kulaumu tu hata kama kilichofanyika kiko sahihi!Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuruka hadi juu bila kupitia hatua muhimu za kujenga taaluma yeke. Na ndio maana CV inaheshimika sana na kutumiwa kuonesha kwa kiwango fulani uwezo wa mtu kitaaluma na weledi wake pia.
Pamoja na kwamba Tanzania watu wanachakachua sana mambo ya taaluma, bado ni muhimu katika utendaji wa shughuli zetu za kitaalamu.
Hata hivyo, hakuna jambo lolote jipya ninalolitegemea kutoka katika serikali iliyo chini ya JK hata kama mawaziri angewatoa mbinguni!!
nimewahi kusoma sekondari na dada mmoja akiitwa Thecla Mgimwa pale Lugalo ya Iringa, huyo ni familia yake pia? just want to knw.
nimewahi kusoma sekondari na dada mmoja akiitwa Thecla Mgimwa pale Lugalo ya Iringa, huyo ni familia yake pia? just want to knw.
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
Njaa ina matatizo makubwa sana hivi mimi nashindwa kuelewa ni kitu gani hasa mpaka Kikwete achukiwe hivi? Mmetaka avunje Baraza La Mawaziri kavunja ametulia na kulipanga upya kila mtu analaumu tu hivi nyie watu wa Chadema mnao watu wanaofaa kuwa Mawaziri? Sugu ama Vincent Nyerere ama Mchungaji Msigwa ama aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini wanafaa kwa Wizara gani? Mbona hao ndo CV zao hazieleweki kabisa? Tuache mambo ya ushabiki ambao hauna msingi Mawaziri wameteuliwa tuwaache wafanye kazi karibu Mawaziri wote waliokuwa wanalalamikiwa wametoswa na wengine waliobaki wamebadirishiwa Wizara Raisi kwa kiwango kikubwa amejitahidi ila nyie watu wa Chadema sifa yenu kubwa ni kulaumu tu hata kama kilichofanyika kiko sahihi!