Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

Ni punguani peke yake ndiyo anaweza kukubaliana na hizo porojo za Lowassa, anadhani watanzania wote wana akili za nyumbu.
Nyumbu uko wewe na wenzako wa lumumba
 
Wingi wa kura alizopata una uhusiano gani na amani ya Tanzania?

Kwa fikra zako kwa sababu watu zaidi ya milioni sita walimpa kuwa kwa hiyo hata fikra zao amewashikia!
Zanzibar mlishindwa kuiba
 
Concerntrate na mambo yako
Wewe ndiye unatakiwa ukonsetileti na mambo yako!

Umeganda kwenye thread yangu badala ya kukonsetileti na mambo yako!

Inaonekana huelewi hata unachokifanya!
 
Kwa akili yako ndogo unamlinganisha Lowasa na nani katika nchi hii!!! Acha u nyumbu. Eti akachunge ng'ombe!! And politically finished!! Acha upuuzi huu!! Usiandike kitu usichokijua. Acha kabisa.
Simfananishi Lowassa na mtu yeyote lakini kilichowazi, Lowassa kwa sasa anapitia njia ya kisiasa aliyopitis Mrema
 
Mleta mada kitendo cha wewe kushindwa kumpuuza Lowasa na kumjadili kila Mara in dalili za kum admire
 
Kwa kuwa bado mdomo anao hebu awaambie basi wafuasi wake hata leo hii waingie barabarani tuone kama yaliyomo yamo.
 
Lowasa pesa zake ndo zinamdanganya mengine yoote ni hadithi kama angekua hana pesa hakuna ambae anagehangaika nae!!
 
umenena vyema
 
Macheni mmasai wa watu...

(Kwa sauti ya mshenga)
Hakuna anayemfanya lolote Mmasai!

Tunajaribu kukisema kile ambacho anadhani fikra zake ni sahihi na amani ya nchi iko mdomoni mwake.
 
Nadhani ifike mahali mtu ujipambanue mwenyewe umeachieve nini au umeacha legacy gani kwenye hii nchi kabla ya kumponda mtu kama Lowassa. Hata wale waliokua wanaongea vibaya juu yake ni kutokana na uchaguzi..pamoja na hayo yote walikua makini sana katika maneno yao
wengi ni wanasiasa mashuhuri nchini
leo hii anakurupuka mtu hajui hata kesho yake na elimu yake ya brn...Lowassa,lowassa...uchaguzi umeisha EL atabaki kua mtu mwenye influence kubwa sana nchini.(Hata ukipinga ukweli wa namba utakusuta,moyoni unaelewa) hivyo anasikilizwa na watu wengi na bado hekima zake zinahitajika.Tujenge nchi acheni uoga.
 
Ikiwa wapo watanzania wengi wenye mawazo kama haya then nchi hii iko kwenye problem kubwa mno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…